sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 5,212
- 13,388
Nko kwenye uhusiano na msichana for 2years now bt nnaona vtuko per day vingi vingne nacheka vingne na waza iv huyu ana nini?Ukimgombeza tu analia balaa baada ya ananuna hapiki et nnaumwa,muda ukipta sana hatujasex anaanzisha ugomvi naenda nyumban mara nyingne hata hakna cha maana,nkisex nae anapga kazi kesho yake hatari hadi namwambia my pumzkikapo basi ,kawia kurudi uone eeeh sura iyo ina turn from brown to brick red ,napata wakat mgumu saana ku handle matukio yake nabembeleza saana ,hadi na chekwa akianzisha bifu hadi ndugu zangu ana include anajiisi saana ,kumpenda ndo nishampenda ivo ,lkn shda ninayo ,situation kama iz mna handle aje ?mnipe mbinu tuta break up soon and i don't wanna loose her
.
We mnyambala ugonile
Ulembikwe........
Oa mnyakyusa mwenzako mtaendana