wanawake wafanyakazi wengine ni majanga

wanawake wafanyakazi wengine ni majanga

high vampire

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,950
Reaction score
2,190
katika maisha kila mtu huwa wanategemea wapate maendeleo kwa sababu ya kuwa na mwanamke mfanyakazi
jana nilikuwa na rafiki yangu ambaye tunapiga naye job ila yeye yupo mkoa mwingine sasa akasema kuwa nisaidie bro nipate site maeneo haya nikamwambia kuwa kesho uje baada ya kuja nikampeleka site akaambiwa kuwa site ni millioni nne baada ya kuambiwa hivyo akampigia mke wake kuwa huku kuna site ya millioni nne mwanamke akasema kuwa sitwende nyumbani kwetu ukanunue kiwanja yaani ukweni nilisema moyoni kuwa wanawake wengine wafanyakazi ni kikwazo ndio akaanza kudai kuwa mke wake hela yake ni kupeleka nyumbani kisa alisomeshwa kwa shida je mwenye kujenga familia ni nani
 
Back
Top Bottom