Wanawake Wadangaji wamehamia Linkedin

[emoji23][emoji23] jamani Baba jesca
 
Ila ndio nausikia leo huo mtandao mweh..ushamba mzigo
 
Walipe na kodi zote stahiki
 
Eti founder hahaa daah[emoji23] [emoji23]
hahaaa hatari "" CEO napiga pictr za kipuuzi puuzi hivyo "" mpka hpo sitayari amesha haribu image ya hiyo kampuni "" maana hawezi kutfutwa na watu wenye akili zao
 
Mhhhhhh of all sites LinkedIn!!???? Hebu wanawake tuwe serious kidogo!
Wanatumia fursa! Tena Wadangaji wa Tz nadhani walichelewa manake nilianza kupata msg za the hovyo za LinkedIn angalau kwa miaka 5 iliyopita!!

Escorts, matapeli wa ajira, fake suppliers, Employers wasiolipa freelancers na kila aina ya uhuni is now part of LinkedIn life!

Siamini tena kila kinachotoka LinkedIn especially from personal a/c.

Uko poa lakini?!
 
Let them be as long as wateja wapo
 
Mmh, LinkedIn ni mtandao wa professionals, kwamba huujui au unatuchora?

Sehemu nzuri ya kujinadi na kujionyesha hasa kwenye career yako.
Halafu nako kuna matapeli
Anakufuata ooh nimeelewa profile yako
Blah blah,kuna kazi naona utafit in kabisa nipe namba iliyoko hewani...
Ukiingia tu wanaanza zile mbinu zao za utapeli
 
Halafu nako kuna matapeli
Anakufuata ooh nimeelewa profile yako
Blah blah,kuna kazi naona utafit in kabisa nipe namba iliyoko hewani...
Ukiingia tu wanaanza zile mbinu zao za utapeli
Sikulijua hili aisee, kumbe nako kumeingiliwa kiasi hiki?
 
Hatari sana!!!!! niko poa rafiki angu i hope unaendelea vizuri na kazi zako..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…