Wanawake Wadangaji wamehamia Linkedin

Dhuuuuu kweli mnajua
Kuchokoroa play store huu mtandao
Ndo nauskia leo
 
Ndo nini hiyo,wa mikoani hapa ndo tunapoaibika
 
Soko limekuwa gumu haswa maana wameshtukiwa. Na wanaumevwanazid kushtukia zaid mbinu zao.. hali inapelekea soko kuwa gumu na vyuma kukaza mno.
 
Me mshamba ndio wapi huko
Mmh, LinkedIn ni mtandao wa professionals, kwamba huujui au unatuchora?

Sehemu nzuri ya kujinadi na kujionyesha hasa kwenye career yako.
 
Mmh, LinkedIn ni mtandao wa professionals, kwamba huujui au unatuchora?

Sehemu nzuri ya kujinadi na kujionyesha hasa kwenye career yako.
Shemeji wala sikuchori ndio kwanza nimeusikia leo me ni WhatsApp na jf tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…