mpiga domo
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 852
- 1,507
Kumbe ukiwa LinkedIn unatumia Erick ila ukiwa JAMII FORUM unaitwa mpiga ndomo, kweli acha JF iitwe great thinker... ila hongera bwana Eric nitakutafuta hukoHabari za Jioni Wakuu,
Naona kumekua na wimbi la wanawake wadangaji kwenye mtandao pendwa wa professionals kwa jina la Linkedin.
Hawa wadangaji walianzia Badoo, wakaenda facebook ikachuja, wakaja JF, wakaenda insta sasa soko limekua gumu wameamua kufuata watu katika maeneo yao ya kazi.
Huko LinkedIn wanaweka profile za kizushi katika Bio yao kama wamesoma chuo flani na wana kazi fulani ili usishtuke. Baadaye katika kufahamu kwa undani kuhusu work experience na vitu kama hvyo ndo utajua kwamba ni mdangaji.
Mbona Maisha yamekua hivi, ni nini jaman kina dada, mmekua desperate na njaa kufikia kiasi hiki?
Hapana Kwakweli Inatosha Ishien Instagram na huku kwingineko kule mnajiaibisha.
Wanaume kuweni makini mkuwapo LinkedIn msije mkajiharibia CV zenu hapo baadaye kwani kule ni mtandao wa ku'network na fellow professionals including your employer.
Ni hayo tu. Nawatakia ulainishaji mwema wa Vyuma. View attachment 726838View attachment 726839
Mkuu kuna id ya nokia85 nilijua ni wewe, nisamehe kwani nilikutoa kabisa kwa watu wenye hadhi zaoMaisha magumu jamani...kuna nyuzi ukiziangalia hata humu unaelewa tu mtu anataka nn
Mkuu kuna id ya nokia85 nilijua ni wewe, nisamehe kwani nilikutoa kabisa kwa watu wenye hadhi zao
HahahaKumbe ukiwa LinkedIn unatumia Erick ila ukiwa JAMII FORUM unaitwa mpiga ndomo, kweli acha JF iitwe great thinker... ila hongera bwana Eric nitakutafuta huko
Kweli mkuu, lkn amekupunguzia kitu coz majina yanakaribianaWatu kama wale unawaacha tu waonyeshe ubovu wa akili zao
Hahahaha ushajulikana tayari ,ngoja tuanze kukufuatilia nyuzi zako kama ulimkosoa Rais wetu basi tutaanza nà wewe bwana ErickHabari za Jioni Wakuu,
Naona kumekua na wimbi la wanawake wadangaji kwenye mtandao pendwa wa professionals kwa jina la Linkedin.
Hawa wadangaji walianzia Badoo, wakaenda facebook ikachuja, wakaja JF, wakaenda insta sasa soko limekua gumu wameamua kufuata watu katika maeneo yao ya kazi.
Huko LinkedIn wanaweka profile za kizushi katika Bio yao kama wamesoma chuo flani na wana kazi fulani ili usishtuke. Baadaye katika kufahamu kwa undani kuhusu work experience na vitu kama hvyo ndo utajua kwamba ni mdangaji.
Mbona Maisha yamekua hivi, ni nini jaman kina dada, mmekua desperate na njaa kufikia kiasi hiki?
Hapana Kwakweli Inatosha Ishien Instagram na huku kwingineko kule mnajiaibisha.
Wanaume kuweni makini mkuwapo LinkedIn msije mkajiharibia CV zenu hapo baadaye kwani kule ni mtandao wa ku'network na fellow professionals including your employer.
Ni hayo tu. Nawatakia ulainishaji mwema wa Vyuma. View attachment 726838View attachment 726839
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaha ushajulikana tayari ,ngoja tuanze kukufuatilia nyuzi zako kama ulimkosoa Rais wetu basi tutaanza nà wewe bwana Erick