Mm naomba AMANI,FURAHA na UPENDO wa dhati kwa ndugu,jamaa,wapenzi,wanandoa na marafiki kwa ujumla bila kuwasahu members wa JF woote MUNGU akutane na haja za mioyo yenu,kama kuna malengo hayakufaulu 2017 basi 2018 yakafanikiwe,.mwaka mpya ukawe na kibali, uchumi wako ukazidi(kwa watafutaji kihalali),muoe na kuolewa,mpate watoto,msaidie wenye shida,na mwisho tutoe sadaka zenye kumpendeza MUNGU,bila kusahau nchi yangu Tanzania,.. MUNGU ibariki Tanzania na watu wake,MUNGU ibariki Africa...
Heri ya krismass na mwaka mpya 2018.