Wanawake/ wadada njooni mtaje vitu mnavyovitaka msimu huu wa sikukuu za mwisho wa mwaka!

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
8,540
2,000
Akina dada na wanawake wote humu, andika chochote unachohitaji msimu huu wa krismasi, pamoja na sherehe za kuuga huu mwaka na kukaribisha mwaka mpya!
Endapo mwanaume yeyote atalike utakachoandika, mng'ang'anie na umkabe mpaka akupatie!
Twende kazi...
 
luckyline

JF-Expert Member
Aug 29, 2014
11,580
2,000
1: nakuomba mungu anipe uzima nimalize mwaka vizuri na ndugu zangu wote.

2: nawaombea wana jf wote mungu wawe afya njema na wamalize mwaka salama

3: nawaombea wanaume wote wa jf waache kulia lia njaa watafute pesa kulia lia njaa humu jukwaan ni aibu. Mwanaume wa jf akitoa elfu kumi lazima aanzishe Uzi, mungu wawezeshe wapate pesa na watoe kwa wapenzi wao kabla ya mwaka huu kuisha.ubahiri ni dhambi.

4: mwisho kuna MTU nimemmisi sana sana tena sana baada ya kutomuona mwaka sasa, mungu naomba nimuone kabla ya mwaka kuisha akiwa na afya njema.

5: nakuomba malaika usishuke kutoka mbinguni kuja kuzima jf.
 
Amina, maombi yako yatimie kama ulivyoomba!
Hao malaika kazi yao kuu ni kuimba mapambio mbinguni, humu hawatakuja!
 
Mother Confessor

JF-Expert Member
Jan 7, 2016
17,301
2,000
Mm naomba AMANI,FURAHA na UPENDO wa dhati kwa ndugu,jamaa,wapenzi,wanandoa na marafiki kwa ujumla bila kuwasahu members wa JF woote MUNGU akutane na haja za mioyo yenu,kama kuna malengo hayakufaulu 2017 basi 2018 yakafanikiwe,.mwaka mpya ukawe na kibali, uchumi wako ukazidi(kwa watafutaji kihalali),muoe na kuolewa,mpate watoto,msaidie wenye shida,na mwisho tutoe sadaka zenye kumpendeza MUNGU,bila kusahau nchi yangu Tanzania,.. MUNGU ibariki Tanzania na watu wake,MUNGU ibariki Africa...

Heri ya krismass na mwaka mpya 2018.
 
Maombi yako yatimie....!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom