Nimeisoma hii story kuhusu wanawake mkoani Tabora kuwa wanatumia ugoro uliochanganywa na magadi ili kuzuia hamu ya tendo la ndoa.Wakenya wameuchangamkia hii ishu sana kwa comment za kuzushi. Hii imekaaje kwa wenyeji wa mkoa huu? Link yenyewe hii hapa