Wanawake wa staili hii, wanakera mno

Wanawake wa staili hii, wanakera mno

Makuku Rey

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
3,638
Reaction score
4,183
Mwanamke nimemtongoza kanikubalia, nikamuomba mzigo kanibania, alafu muda mwingi anaokutana na mimi anakifanya ana haraka muda mwingi utamsikia akisema 'nataka kuondoka lakini nina haraka' as if mmekutana bahati mbaya.

Basi unapozidi kumbembeleza, we unaongea naye ye yuko busy anachat kwa text na watu wengine na ninapojitahdi kutaka kugundua anachat na nani, ndivyo simu yake anaiweka mbali na upeo wa macho yangu.

Mara nyingi mimi ndo wa kwanza kumshtua kene simu kila siku, nisipofanya hivo siku inapita na ninapomuulza kama ananipenda anajibu ananipenda. Naomba mnisaidie huyu binti ananipenda kweli? Au yupo kimaslah zaidi?

Ushauri kwa mabinti kama mwanaume huwezi kumpwenda au haujakidhi vigezo vyako, mtose siku ileile ya kwanza sio kukubal ninafikiria.
 
Mie kuna dada tulikuwa marafiki karibia mwaka mzima mwishowe nikaona anafaa kuwa mtu wangu akanambia yuko tayari ila hapendi sex halafu hela zangu anazitaka basi nilivyoona hivyo nikampotezea hadi leo hii na namba yake nimefuta ila yangu bado anayo
 
Mwanamke nimemtongoza kanikubalia, nikamuomba mzigo kanibania, alafu muda mwingi anaokutana na mimi anakifanya ana haraka muda mwingi utamsikia akisema 'NATAKA KUONDOKA NINA HARAKA'. as if mmekutana bahati mbaya!

Hivi mwanamke unamtongozaje hadi anakukubalia?

Katika kukubalia huko anasemaje?

Anakwambia 'ndiyo'?
 
Wadada wengi huwa wanasema mwanazoni huwa anakukublia tu, ila kupenda huwa wanapena mbele safari, kwahiyo ngoja safari yenu ya mapenzi ianze
 
Hapo kweli... nina demu ninamtongoza nampenda ila akaniambia anajamaa wake, nikajidai sielewi somo nikamkazia sana akaanza kuniita my, mara luv.. lakini kumuacha jamaa ake hataki na mimi akiona ninataka ku give up niwaache na jamaa yake anakua mnyonge kuonesha hajakubaliana na uamuzi wangu huo, kwahiyo hapo na mimi ninajipa moyo labda atamuacha jamaa yake, hapo na mimi nafanyaje wadau!??
 
Kwani mwanamke akikupa ndo anakupenda?vuta subira kijana mambo mazuri hayataki haraka tatizo lenu nyie tukishawapa papuchi dharau zinaanza na muda mwingne mnakimbia kabisa ,siku zote mwanaume unayempenda usimpe papuchi mpk ndoa akivumilia huyo ndo Mr.right uliyekuwa unamsubiri
 
Mie kuna dada tulikuwa marafiki karibia mwaka mzima mwishowe nikaona anafaa kuwa mtu wangu akanambia yuko tayari ila hapendi sex halafu hela zangu anazitaka basi nilivyoona hivyo nikampotezea hadi leo hii na namba yake nimefuta ila yangu bado anayo

umejuaje kama bado anayo yako?
 
kwani mwanamke akikupa ndo anakupenda?vuta subira kijana mambo mazuri hayataki haraka tatizo lenu nyie tukishawapa papuchi dharau zinaanza na muda mwingne mnakimbia kabisa ,siku zote mwanaume unayempenda usimpe papuchi mpk ndoa akivumilia huyo ndo mr.right uliyekuwa unamsubiri

nani afanye ujinga huo yaani nipasuke hela halafu mwisho wa siku unitelekeze bila hata ya kukujua unafikiri hatuwajui usaliti wenu kwenye mapenzi
 
Kama hakukumbuki we kila siku mtafute tu si unampenda. . . . .maadam ana haraka kila siku nawe akija usiweke kambi mnunulie kinywaji akimaliza tu aga mwambie u just wanted to see her. . . . . .Kwenye simu we salimia tu baaaas kama mzima shukuru mtakie siku njema. . . . . . .

Kaa kwa siku kadhaa mnunulie set ya shower gel, splash na spray kama una gari tembea nazo tu siku ukimwita "kumsalimia" usishuke kwenye gari mkaribishe akae kiti cha abiria mwambie ulipenda kumuona kama kapendeza msifie kama hajapendeza usimdanganye. . . . mpe gift yake agana naye. . . . .

Punguza mawasiliano kama anakupenda kweli she will come for you ukiona kimya achana naye atakuumiza tu kichwa . . . . . .Bait for a better fish
 
Back
Top Bottom