Wanawake wa siku hizi kitandani ni zero

Wanawake wa siku hizi kitandani ni zero

Usipate tabu mkuu, njoo huku kitaa kwetu utajipatia za kupima zinazo zungushwa kama feni kabla hauja lipia....
alafu baada ya bhapo unaondoka na ukimwi juu juu kama feni pia au???ameongelea mwanamke wa maisha yake kwann hawajitumi sasa ww unazungumzia machangu ndugu yangu
 
tatizo ni hili swala la utandawazi ndo linatusumbua sikuhizi kila mtu ni mkunga huoni shida hiyo inaanzia hapo???drama zimekuwa nyingi sana ndo shida yake hiyo
 
hakuna mtu mjinga kila siku...kama umetembea na mwanamke ambaye hakuridhishi kimapenzi ni bora ukamfundisha...kuliko kuja kutuletea hadithi za watoto wadogo hapa....
Awe anafundishika... wengine ukithubutu kuwafundisha, unaonekana mallaya uliyekubuhu...
 
Wacheza Ngoma hucheza kulingana na mdundo wenyewe, sasa kama mpigaji mwenyewe ni mlevi hajielewi elewi unazani anayecheza atacheza vipi, pumzi zenyewe shida, msilamu wanawake!
 
Wacheza Ngoma hucheza kulingana na mdundo wenyewe, sasa kama mpigaji mwenyewe ni mlevi hajielewi elewi unazani anayecheza atacheza vipi, pumzi zenyewe shida, msilamu wanawake!
@Ulweso
 
mi wananishngaza sana hawa viumbe.

Unakuta bonge la demu, tall huko nyuma mkia wa maana ila sasa kila kitu kwake ye mtihan.

Kuosha nguo, hajui
Kuosha vyombo, hajui
Fanya usafi, hajui
Fagia rum unayolala basi, hajui
Kupika msosi watu wale, hajui
Pika msos wa wew mwenyew basi, hajui
Kaa tulia umpe penzi mumeo,hajui
wanachojua ni kuomba ela na kupiga picha za insta na feibuku.
Jitafakarini.
 
Back
Top Bottom