financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,141
- 43,366
We mweusi unatamani nini, kutokuombwa pesa ama?, acha kukwepa majukumu weweeAisee nakutamani

Don't you know that you're a provider?
We mweusi unatamani nini, kutokuombwa pesa ama?, acha kukwepa majukumu weweeAisee nakutamani

Wa Tanzania ya Viwanda
#YNWA
Mkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo)![]()
,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
Tatizo binaadamu wabishi sana
Done..Hujamwelewa mtoa mada, shida si kutoa pesa, pesa utakayoomba utapata, ila tu mnapoomba pesa, msiwe wagumu kutoa papuchi, yani ww ukipata pesa, mwanaume anapata papuchi, kila mtu hapo anaridhika financial services
Tunataka WIN WIN SITUATION..Kumbe Papuchi inanunulika kwa pesa tu ambayo ni makaratasi?
😀😀
Mkuu, unafanisha thamani ya papuchi na pesa ? Vitu tofauti kabisa ,na hiyo exchange ya pesa na papuchi ni biashara sasa siyo loveHujamwelewa mtoa mada, shida si kutoa pesa, pesa utakayoomba utapata, ila tu mnapoomba pesa, msiwe wagumu kutoa papuchi, yani ww ukipata pesa, mwanaume anapata papuchi, kila mtu hapo anaridhika financial services
, toeni pesa hizo, sipendi husband bahili mimi
Mkuu, unafanisha thamani ya papuchi na pesa ? Vitu tofauti kabisa ,na hiyo exchange ya pesa na papuchi ni biashara sasa siyo love, toeni pesa hizo, sipendi husband bahili mimi![]()
Mmmh isiwe hivyo bwanaAhsante kwa povu/ushauri/dawa chungu hatotaomba tena pesa, nanyie msiombe... Ngoma droo![]()

Haya mama wa financial intermediaries..!!Mkuu, unafanisha thamani ya papuchi na pesa ? Vitu tofauti kabisa ,na hiyo exchange ya pesa na papuchi ni biashara sasa siyo love, toeni pesa hizo, sipendi husband bahili mimi![]()
Saviour umejitokeza..!!!Kuna dada nilimtongoza jumatano, akakubali ijumaaa na jms jioni akanitumia sms, eti anashida na pesa TSH laki nne!
Nikabaki najiuliza nisingemtongoza hizo pesa angeomba wapi!?
Nikampotezea mazima,akaanza,unanipenda kweli?mbona hela hujanipa!nikamwambia Sina na mapenzi sio pesa!
Mkuu sijaona hiyo red.., biashara gani?Hapo kwenye red....Nipe bei ya hiyo biashara yako pls.
Kwenye post yako 39# umesema "Papuchi ni biashara sio love,toeni pesa hizo...." Haya nijibu swali langu sasa.Mkuu sijaona hiyo red.., biashara gani?
Huo ni mkurupuko wa kusoma post mkuu ,sijasema papuchi ni biashara mimi, rudia tena,,,Kwenye post yako 39# umesema "Papuchi ni biashara sio love,toeni pesa hizo...." Haya nijibu swali langu sasa.
