Wanawake wa MILLENIAL bana...

Wanawake wa MILLENIAL bana...

Liverpool_Jr

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2019
Posts
1,220
Reaction score
1,417
1. JUMATATU.
Mnakutana na unamuomba NAMBA YA SIMU.

2. JUMANNE.
Unamtongoza..
Majibu yake ni usumbufu, kauli mbiu yao "WANAUME WOTE WAONGO"..."WANAUME BABA YAO MMOJAA"

Mwanaume unachoka usumbufu, una "nyuti" kwa kukusanya madini mapya ya mtongozo ""MABAHARIA HUWA HAWAKATI TAMAA KIRAHISI"

3. JUMATANO.
Anakupiga kizinga "Nina hamu ya kitimoto".. "Naomba hela ya kusuka"... "Ninunulie umeme"..""Kuna gauni nimeliona zuri"
Mwanaume UNAVUNGA...

4. IJUMAA.
Mwanaume unamtafuta "Vipi ushapata ile hela mama yangu mzuri?'"
Anakujibu "Bado, we si Mchoyo"

Unamwambia "Njoo uchukue Gheto"
Anakuuliza "Nakuja unanipa hela nakuondoka sitaki tufanye chochote"

BAHARIA kishupavu Unajibu "Njoo Mapema tujifungie chumbani halafu utaondoka usiku, ila ukilala ITAKUA POA ZAIDI"

Bin Dada "Yaani wewe kaka una haraka, umenitongoza Juzi Leo unataka penzi, kweli nyie wanaume sio waaminifu"

BAHARIA unabaki unajiuliza "HIVI MI WALETI YANGU KUFUNGULIWA Masaa machache baada ya mtongozo ni UAMINIFU?"

Newton Third law of motion state that "IN EVERY ACTION THERE IS EQUAL AND OPPOSITE REACTION"

MWANAMKE WA MILLENIAL, UKIPENDA HELA usiwe mbishi KUVUA KUFULI..

Unapenda hela za mwanaume kwa kuwa ni TAMU, sawa UTAPATA KADRI UNAVYOHITAJI ila KIROHO SAFI NA MIMI NATAKA MZIGO KADRI NITAKAVYOHITAJI.

Hela zipo na UTAHUDUMIWA ila mama angu PAPUCHI MUHIMU TAFADHALI.

Au hukumuelewa ISAC NEWTON FORM TWO na LAWS zake za MOTION?

Alisikika BAHARIA mmoja hivi KIJIWENI HAPA MUDA HUU..

#ASANTE

#YNWA
 
Ahsante kwa povu/ushauri/dawa chungu hatotaomba tena pesa, nanyie msiombe... Ngoma droo
Mbadala ya papuchi ni SABABU/MAFUTA YA MGANDO, Sa sijui mbadala wa KUFULIA ni nini?

Mi nadhani TUPEANE tu KIROHO SAFI..

JPM alisemaga "Tanzania inayoiongoza Mimi ni nchi ya WIN WIN SITUATION""
 
Mbadala ya papuchi ni SABABU/MAFUTA YA MGANDO, Sa sijui mbadala wa KUFULIA ni nini?

Mi nadhani TUPEANE tu KIROHO SAFI..

JPM alisemaga "Tanzania inayoiongoza Mimi ni nchi ya WIN WIN SITUATION""
Mkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo) ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
 
Hakuna cha kupima wala,unaomba unaomba kwel una shida zako..mwanamke ambae kakupenda na anajua anachotafta hawez omba hela fasta hvo,..na sisi ambao huwa hatuvung kutoa hzo hela ndogo ndogo,tunawalamba kwelkwel had tunawakimbia
 
Aiseee, I'm speechless mkuu "mnawalamba hadi mnawakimbia"
 
Mkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo) ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
Na sisi huwa tunaomba papuchi ili kupima kama nyie ni wife material... Msipo tupa tutawaona hamfai!! Toeni papuchi ili muwe wife material
 
Mkuuu, mtu kuomba pesa si kwamba kafulia kabisa lah huwa tunapima je huyu mtu ni husband material au ana mkono wa birika(mchoyo) ,usipompa hela anakuona humfai for future ,toeni hela muonekane husbands material hayaa
Husband material wote hua hawatoagi hela ndo maana ukiwa na manzi halafu ukamletea stori za kutaka kumuoa kujitambulisha kwaio etc huyo manzi utakula bure hadi umkinai...
 
Ni mambo ya kushangaza unatoa namba mwenyewe unaanza mizinguo kuna mmoja akiwa na shida hapo naitwa dear, nikimwambia njoo geto hooo siwezi kuja nna mtu wangu kuna siku kalikuwa kanaumwa hakana hata mia tangu asubuhi hakajala kitu kakantafuta nikakapelekea chips kamekula kameshiba baada ya siku kadhaa kakawa fresh nakaambia njoo geto hakataki sa ngoja nikavutia gape mara nyingi utoto huwa sipendi. Liverpool_Jr,
 
Back
Top Bottom