Wanawake wa Milenial bana...

Ngoja niingie maabara kukitafuta..

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siyo Wakristo wote Mitala kwao ni dhambi. Wapo ambao ni halali kabisa, na unafunga ndoa kanisani, ya Kwanza Hadi nafsi yako itakaporidhika. Wewe na wake zako mnashiriki ushirika mtakatifu na mbingu itawahusu Kama Musa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
By any way wewe upo mkoani Njombe . Njombe ni nyumbani kwetu huko kuna ngoma/ukimwi hatari be carefully usije ukapata Ngoma bure uje kutulilia hapo baadae.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

“Ni aibu kubwa kwa mwanaume tena inapunguza hadhi ya kiume kwa mwanaume kuendelea ku***mba mwanamke ambae unajua wazi ana***mbwa na mwanaume mwingine ambae si mumewe na unajua wazi kuwa awezi kumuacha,,,kwanza kakudharau sana yawezekana kaona mapungufu kwako mkuu achana nae huyo kahaba
 
Akijifanya Malaya... Mfanye Malaya..

#YNWA

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Hii theard imekaa kivulana sana


Sent using IPhone X
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…