Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,177
- 734
- Thread starter
- #21
Hapo ndipo pabaya
Haa haa haaaaa... Very funy! Huyo kidume akiiona vizuri lazima atoke nduki
Hapo ndipo pabaya
Kuna wadada wana tu miguu tuzuriiii, softiiiiiii.
Unakuta limguu lina GAGA, Hadi anatumia kufichia hela
very good , sema navurugwa kichwa na yanayoendelea huko kwenye Bunge lenu la katiba.
w'end hii vipi , tunasaga?
Inaitwa sura mpya miguu ya zamani.
nahisi huyu anajuta kujichubua mguu umekuwa kama wa kiume.Hapo ndipo pabaya
aiseeeee.
![]()
nmecheka mpaka machozi dah.hii kweli stress free zone
very good , sema navurugwa kichwa na yanayoendelea huko kwenye Bunge lenu la katiba.
w'end hii vipi , tunasaga?
you just get ready my and mndengereko will do the rest.Wish I could, but weekend hii naenda na Mndengereko akanionyeshe mitaa nisahau nilikoenda Tabata.
....miguu ya nini wakati wewe unahitaji ile kitu namesa yenzake?