Wanawake wa make-ups: sura safi, ila miguu mmhhh..!

Wanawake wa make-ups: sura safi, ila miguu mmhhh..!

Magnificient

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
1,177
Reaction score
734
Wadada warembo oyeee.... Mimi jamani sina lengo baya, ila ni kuweka mambo sawa tu. Utakuta dada kajitahidi kutengeneza sura hadi inakuwa poa, na nywele bomba kabisa. Kidume utapata ham na mshawasha wa kuperuzi mwili wake wote, mzuka utapandaa ila ukifika miguuni tobaaa...! Kunguru si kunguru, ila sijui ni masahibu gani. Mnaonaje kama mguu nao upigwe vi make-ups ili uendane na sura? Maana wengine hata wakivaa sandals au open shoes tu majanga, waume wote kuleee... Nadhani nimesomeka, nilikuwa nakumbushia tu kwenye kujiremba kwetu tukumbuke na miguu yetu ili kama nayo haiko poa basi ipigwe msasa.
 
Hapo ndipo pabaya
 

Attachments

  • 1395856642727.jpg
    1395856642727.jpg
    27.4 KB · Views: 569
Miguu mibishi mikorogo inadunda jamani. Yani mwili unakuwa kama amoxicillin (rangi 2), juu mweupe chini sasa ugoko mweusiiii dadeki hahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
hahahaahahahha, ukiona hivyo ujue carolite at work lol
 
Unakuta limguu lina GAGA, Hadi anatumia kufichia hela
 
Miguu mibishi mikorogo inadunda jamani. Yani mwili unakuwa kama amoxicillin, juu mweupe chini sasa ugoko mweusiiii dadeki hahaha

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

nmecheka mpaka machozi dah.hii kweli stress free zone
 
Back
Top Bottom