Hajulikani
JF-Expert Member
- Nov 27, 2013
- 273
- 252
Hawatoi tundq mpaka siku ya ndoa.Habarini wadau,
Wale wanaume ambao ni waumini wa Katoliki au Lutheran ambao waliwahi kupata wachumba kutoka haya makanisa ya kilokole,ni changamoto gani mlipata kutoka kwa hawa wapendwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza huwa tuna funga nao ndoa inayoitwa MSETO.Habarini wadau,
Wale wanaume ambao ni waumini wa Katoliki au Lutheran ambao waliwahi kupata wachumba kutoka haya makanisa ya kilokole,ni changamoto gani mlipata kutoka kwa hawa wapendwa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndoa ya mseto ndio inakuaje mkuu?Kwanza huwa tuna funga nao ndoa inayoitwa MSETO.
Baada ya hapo huwa wanajisahau sana kwamba wameolewa na kujikita kanisani na wakitumia muda wao mwingi ambao walitakiwa wawe na waume zao ama watoto wao.
Hapo ndipo sasa sisi wanaume wa kikatoliki tunapo anza kuona kwamba ulokole unatuvunjia ndoa.
Baada ya hapo migogoro mikubwa huanza kuingia kwenye ndoa kwa kosa la mama kutoijua nafasi yake ndani ya ndoa, ambayo hupelekea mwanaume kuchepuka ama kuharibu ndoa
Unapika bamia halafu unachanganya na mahindiNdoa ya mseto ndio inakuaje mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
We kama sio Juma Lokole utakua LesbianUnapika bamia halafu unachanganya na mahindi
AU
Unapika nyama halafu unachanganya na juisi ya MAEMBE pamoja na mlenda wima.
Sijui umeelewa mkuu?
Kwa muhusika.
Ndiyo matatizo yenu vijana.Mkielekezwa maneno msiyoyajua mnaanza lugha za hovyo.Hadi umri huo mtu hajui maana ya mseto?Vema.Nimejaribu kukuelekeza kwa lugha ya picha weye umekuja na yako.Hivi unaishi na hao uliowataja chumba kimoja?Naona unawafahamu sana.We kama sio Juma Lokole utakua Lesbian
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji16]kuna mzee mmoja ni mfanyakazi mwezangu aliniambia kaoa mlokole sasa kabla ya tendo lazima maombi. yaani anaombea kwanza tendo eti tusije tukazaa mtoto shetani