Wanawake wa kuoa

siku zote huwa siamini kama watu wa kabila fulani wanakuwa na tabia zinazo fanana
 
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?

kwan wewe ni kabila gani ..?
 

Kaktaliwa kuoa kabila lake huyu bwana, maan ni zuri tu ila mwiko kuoa la kwao.
 
Ukabila ukabila ukabila.... Tabia haina kabila...

Period.....
 
oa mke..sio kabila..ama sivyo kaoe ulaya Tanzania na makabila havitengani.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…