Wanawake wa kuoa

Joined
Jan 16, 2014
Posts
63
Reaction score
11
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?
 
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?

mimi naona mabinti wakipare ni wazuri wa sura hadi tabia
 
wanawake wa kuoa wapo wachache sana ila wasichana wa kuoa wapo wengi sana na kila leo wanafuzu na kua tayari kwa ndoa,wanatoka kabila la Watanzania.
 
Oa Mnyamwezi..wanawake wanajua kustahmili maudhi ya Mume hawa...mimi niko znz na mtu wa znz ila nna jirani yangu ni mnyamwezi(Msukuma) huyu mama ni mwisho kwa uvumilivu...wakipenda wanaoza hili kabila...Naomba samahani kama itakua nimekosea mimi ni Mmakunduchi wa znz...na huu ndo mtazamo wangu....wachaga? I don't know! Tanga I am not sure!
 
Znz ndo Wapi?
 
Kuoa? Ain't nobody got time for that!

Last edited by a moderator:
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?

Unaoa mwanamke na huoi kabila, elewa hilo. Unaweza sikia kwamba wanawake wa kihaya ni malaya lakini ukaja kumpata mwanamke wa kihata at her 30's bado bikira. Kwa hiyo nakushauri usiangalie tabia za kabilaa, chunguza tabia ya mwanamke binafsi, na pia chunguza UKOO wake, basi.
 
Wana-JF, naomba mwenye hekima aseme ni kabila lipi hapa Tz mabinti wake wana sifa nzuri za kuwa wanawake wa ndoa (wake)....? achilia mbali tabia za mtu mmoja mmoja kiujumla yaan...?

Maajabu haya...Swali lako limekosa hekima lakini wewe watamani ujibiwe kwa hekima!!!
 
Tabia na kabila ni vitu viwili tofauti
 
Tuondolee lawama humu, hebu changamsha balls zako huko...Unakuwa kama mbwa unataka kusakiziwa.

Kabila la mtu sio lebo kama zilivyo nguo na viatu kutambulisha ubora wa mke mwema,basi kila mtu angekuwa anatembea amejibandika kwenye paji la uso.

Huku kujifanya unatafuta kabila la kuo ni kutapatapa na kujsribu mbinu ambayo wenzako waliitumia mwaka -47.

Sipendi ukabilaaaaa!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…