TheForgotten Genious
JF-Expert Member
- Jan 18, 2014
- 2,436
- 3,557
Kwa wale mlioishi Handeni ama mmeoa wazigua naombeni sifa za hawa watu, tamduni zao, changamoto zao tafadhali.
Wanapenda wali Kama wapogolo,ukioa kila siku jioni hakikisha Michele haukosekani.mengine sijui





dahNa wewe unapenda michele?
Jiheshimu, aliyekwambia wapogoro tunapenda wali nani ?Wanapenda wali Kama wapogolo,ukioa kila siku jioni hakikisha Michele haukosekani.mengine sijui
Wewe mpogoro kama mimi ?
Hahaha watani zangu mnapenda sana waliJiheshimu, aliyekwambia wapogoro tunapenda wali nani ?
kwahiyo unaulizia ulizia watu makabila yao ili ugundue nini?Wewe mpogoro kama mimi ?
Hao kwao handeni kila nyumba ina mganga,yani waganga ni wengi kuliko raiaKwa wale mlioishi Handeni ama mmeoa wazigua naombeni sifa za hawa watu,tamduni zao,,changamoto zao tafadhali.