Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,949
- 47,738
Mwanamke unamkuta custom officer anasema anatamani kuolewa na Mtanzania jirani yake aliolewa na Mtanzania ndoa yao ipo vizuri hao wapo wengi mpaka tunawakimbia ukionyeshwa picha unaweza kukataa sasa hapo si mpira katoa kwenye maguu 12 kaweka kwenye sita utafanyeje..Kwahiyo ni kuwabless tu wana sio? Sio kuringa mtu kama ana mtuwe hawezi kukubali tu, nao ndio identity yao, Mungu ana watu!
Pole sana mkuu sa utafanyaje?🤭Basi tu kaamua anotese mtoto wa watu
Aisee! Hapo kupangua ni ngumu inakubidi kuwa na mke bara na visiwani🙆🏽♀️Mwanamke unamkuta custom officer anasema anatamani kuolewa na Mtanzania jirani yake aliolewa na Mtanzania ndoa yao ipo vizuri hao wapo wengi mpaka tunawakimbia ukionyeshwa picha unaweza kukataa sasa hapo si mpira katoa kwenye maguu 12 kaweka kwenye sita utafanyeje..
Nisaidie mbinu za kivita nimeishiwa mbinuPole sana mkuu sa utafanyaje?🤭
Sio mke unapita nae tu wapo wanaotaka lift kutoka miji mikubwa wahuni huwa wanachagua pisi kali mtu anatoka Gabs anaelekea Mahalapye huyo kutoa papa ni lazima kuna kulala mbele hotel na wao wanaona kawaida tu huko wahuni wanatembea na kinga tu bila hivyo ni hatari kule pisi zinatumika mno na wala sio big ishu na mavazi yao wanatembea nusu wazima migongo na hips zimesimama unaokota kama wa kawaida tu si wapo wengi..Aisee! Hapo kupangua ni ngumu inakubidi kuwa na mke bara na pwani🙆🏽♀️
Mi natoa wapi mbinu mwenyewe wa tandahimba huku hatuna tunaloelewa🙆🏽♀️Nisaidie mbinu za kivita nimeishiwa mbinu
Duhh lakini hii hali ya hatari sana wala sio sifa nzuri! Mtu analala na chochote atakachokutana nacho🤔Sio mke unapita nae tu wapo wanaotaka lift kutoka miji mikubwa wahuni huwa wanachagua pisi kali mtu anatoka Gabs anaelekea Mahalapye huyo kutoa papa ni lazima kuna kulala mbele hotel na wao wanaona kawaida tu huko wahuni wanatembea na kinga tu bila hivyo ni hatari kule pisi zinatumika mno na wala sio big ishu na mavazi yao wanatembea nusu wazima migongo na hips zimesimama unaokota kama wa kawaida tu si wapo wengi..
Wanawake wapo wengi kuliko wanaume wao kuwa na mwanaume wanafurahi tofauti na Nchi zingine huko SA,Eswatin,Lesotho na Botswana wana enjoy life kuanzia Alhamis mpaka J2 kila wiki ni nyama nyama pombe wanawake hawawazi kujenga wao..Duhh lakini hii hali ya hatari sana wala sio sifa nzuri! Mtu analala na chochote atakachokutana nacho🤔
Kinachoniuma zaidi mtoto ni bunyero bunyero.Mi natoa wapi mbinu mwenyewe wa tandahimba huku hatuna tunaloelewa🙆🏽♀️
Inafikirisha na kuhuzunisha kwa pamoja! Maisha ya ajabu sana hayo duh!! Yani mtu anaenjoy kulala tu na watu bila sababu za msingi! wapo wengi kuliko wanaume wao kuwa na mwanaume wanafurahi tofauti na Nchi zingine huko SA,Eswatin,Lesotho na Botswana wana enjoy life kuanzia Alhamis mpaka J2 kila wiki ni nyama nyama pombe wanawake hawawazi kujenga wao..
Hahahah hebu tumuone labda ntakushauri vizuri zaidi😎Kinachoniuma zaidi mtoto ni bunyero bunyero.
Tembea uone maajabu ya Dunia watu wanasafiri kwenda kukamata pisi za Nchi ingine wakijua wanapatikana kirahisi na Serikali inabariki tu..Inafikirisha na kuhuzunisha kwa pamoja! Maisha ya ajabu sana hayo duh!! Yani mtu anaenjoy kulala tu na watu bila sababu za msingi
Kuna nchi mbunye sio big deal kabisaSio mke unapita nae tu wapo wanaotaka lift kutoka miji mikubwa wahuni huwa wanachagua pisi kali mtu anatoka Gabs anaelekea Mahalapye huyo kutoa papa ni lazima kuna kulala mbele hotel na wao wanaona kawaida tu huko wahuni wanatembea na kinga tu bila hivyo ni hatari kule pisi zinatumika mno na wala sio big ishu na mavazi yao wanatembea nusu wazima migongo na hips zimesimama unaokota kama wa kawaida tu si wapo wengi..
Ntakupostia tu/ Niko rader hahahaHahahah hebu tumuone labda ntakushauri vizuri zaidi😎
Kwakweli maajabu hayaishi! Unasafiri ili kwenda kukamata pisi za nchi nyingine🤔Tembea uone maajabu ya Dunia watu wanasafiri kwenda kukamata pisi za Nchi ingine wakijua wanapatikana kirahisi na Serikali inabariki tu..
Nasubiri chino, bado dk moja nilale🙄Ntakupostia tu/ Niko rader hahaha
Wanatafuta watu wa kuwaoa na maisha wanayo na wazuri..Kuna nchi mbunye sio big deal kabisa
Wasauzi week end wanakimbizana kuzoa pisi za Eswatin miaka nenda rudi ila sio mbali pale wengine wanaenda Gaborone..Kwakweli maajabu hayaishi! Unasafiri ili kwenda kukamata pisi za nchi nyingine🤔
Duh wanaume mna vibarua aisee! Mbona wasauz wako vzr tu pia, na huko magonjwa vipi?Wasauzi week end wanakimbizana kuzoa pisi za Eswatin miaka nenda rudi ila sio mbali pale wenginewi wanaenda Gaborone..
Magonjwa kwa kugawa huko yamejaa SA wapo 8m wagonjwa ila Watswana sina kumbu kumbu nao ya sasa hivi..Duh wanaume mna vibarua aisee! Mbona wasauz wako vzr tu pia, na huko magonjwa vipi?