Super Handsome
JF-Expert Member
- Jul 16, 2013
- 3,844
- 6,469
Haha travolta zinavaliwa shambani mkuu si unajua tena Mimi ni mfuga mbwa
I never took it serious man besides u are way too right
Ayt..Uncle, utakua Java, Akemi lini nije na mimi mkata mkaa nikae kwenye revolving restaurant ..mpwa wako mshamba ohoo!
Hahaha Mkata mkaa hatari kweli huko kote umepajuaje ?Java ilikua kipindi hichoo sasa hivi nimerudi kijijini wewe mtafute Joe na Imani hatokuangusha
Ila subiri 40 ziishe kwanza
Mimi out yangu ni siku napeleka debe za mahindi sokoni na punda
Naskia huyo ulie mtaja kahamia Rhapsody's kakataa mguu Java! Mi nikitoka sana machi machi guest house na wapi sijui..ila nyie wa travolta nyie hiiiiiii (in mapadlock's
Rhapsody's si kuuza sura tu ,Nenda hata masaki kwa Suzzy utamkuta mbona hivi elements na house bado ziko active ?
Haha nlijua Guest Blue rose ya Malapa
Hivi ni kweli wanaosema tanga yale mambo yetu yanapatikana bila tabu(0712)?
Utamu wa pipi mate yako mwenyewe
Pipi zinatofatiana utamu pia
Nimebahatika kuoa mtoto wa kitanga.mapenzi ninayopewa acheni jamani.wanajua nyakati za shida na raha.Oeni Tanga jamani mufurahie maisha.
Naskia huyo ulie mtaja kahamia Rhapsody's kakataa mguu Java! Mi nikitoka sana machi machi guest house na wapi sijui..ila nyie wa travolta nyie hiiiiiii (in mapadlock's
Mi nimeoa Mmeru jamani..... Ananipenda mpaka anaumwa........ Naenjoy kuanae