wanawake wa kinyarwanda kazi ipo kweli kweli !!!

sioni kosa la hawa wadada kwanza kama mmepost picha zao bila idhini yao ni kosa maana hapa wanaonekana kabisa wako sehemu ya starehe wamepumzika
 
jamani mngenifanyia mpango wa kumbadilisha sura/uso ningemtokea, ana miguu ya ukweli. Sio siri kantamanisha hadi jogoo kawika.
 
Nenda London pub pale kwa lemy sinza utawachoka ila usiende napesa ya mkopo utafungwa
 
Back
Top Bottom