Kweli, alikuwa mweusi tii, mrefu na tako kubwa na mapaja makubwa kweli kweli...mzuri sana usoni, meno meupee!! Ni yeye ndo aliyeanza kunipenda na dalili zote nikaziona, nikaona niteleze na ganda la ndizi...mwanzo hakuwa na shida, tulipozoeana baada ya kama mwezi hivi ndo nikaanza kuona rangi....