Wenzetu mlizaliwa benki au kwenye taasisi ya fedha,unakuta anakuambia pesa kwake ndio kila kitu,unajiuliza amezaliwaje,analipia wapi pumzi yake,,...umemuoa anapenda malumbano,kitu kidogo anagombana hatari,yerewiiiii!!!
Unafanya anavyotaka lakini siku ukishindwa kidogo,yale yote yaliyopita yamefutika pia,kama game zisizo na save option...
Unajuta kuoa,maana kuacha unawaza mwanao ataishije,wewe uliishi bila baba au mama unapenda mwanao afurahie kila uwepo wenu,hutaki apate shida,lakin kwa hili unajikuta unatamani kushindwa kuliko kushinda
Kama kuna sehemu mnakosea jirekebisheni, kwa nini kila mtu anawananga nyie tu, kwa nini nyie tu na sio kabila lingine...kuna kitu hakiko sawa labda..!
siku hizi wanaume ni wachache sana,wengi wetu vivulana tu.kulalama tu hovyo..
Waache kutuoa.......wanatung'ang'ania wa nini........waende kwenye hao makabila wengine........
Wachagga are there to STAY........miaka 800.........
Waache kutuoa.......wanatung'ang'ania wa nini........waende kwenye hao makabila wengine........
Wachagga are there to STAY........miaka 800.........
hata wanaume wa kichaga ni ovyo tu
Mtoa mada pole sana...lakini hayo uliyoandika huku sidhani kama yatakusaidia kunusuru ndoa yako
Kwa nini??
Mila zipi wanazofanyiwa? Zinawafanya wanakuaje?
Sasa huyo mkewe yupo huku?? Dawa ni kuzungumza nae yeye mwenyewe. Na kama yupo huku ameamua kumfikishia ujumbe kwa staili hiyo bas ni hatari