Hata wanaume wapo wa hivi. Kwa vile yeye hawezi kuwa rafiki na mwanamke bila kumtamani, unakuta nae anaamini kuwa mpenzi wake hawezi kuwa na urafiki na mwanaume bila kuwa na uhusiano wa kimapenzi. it is very low thinking. Muhimu urafiki huo uwe wazi tu. Kama huwezi kum-hug mbele ya mwenza wako, acha kabisa.