Wanawake wa kiafrika mnakoelekea siko. Hata wazungu hawavai hivi.

Zero Hours

JF-Expert Member
Apr 1, 2011
12,944
18,654
Jamani nyie wanawake wa kidigitali mnatuharibia kizazi chetu cha baadaye. Huu uvaaji wenu mnawafundisha nini watoto wenu.

Si bora mkae uchi sasa kieleweke. Miaka mingi mlikuwa mkisingizia ni utandawazi. Kuwa wanaiga wazungu. Lakini huu uvaaji hata wazungu mmewazidi

ee8d0103420252389ffcb4aefed89f7e.jpg


Mjirekebishe basi,khaaaa. Wengne tunashindwa hata kupeleka watoto zetu sehem za starehe kwa hofu ya kukutana mimtu mizima ipo uchi.
 
we hujaenda us huko kuna club party wachumba wamechorwa tu km bikini wear hivi ila wako uchi mtupu.hakuna chupi wala bra,mida mibovu mkielewana ni chemba tu kitu na boxi
 
Kuna wengine naona sikuhizi wanapaka tu rangi zile sehemu husika, rangi inafanana na nguo.
 
Yaani hawa dada zetu wanasubiri ruhusa ya Serikali tu kutembea uchi tuanze kuona papuchi za wakubwa bure
 
Hivi kwani zamani mlikuwa mnavaa nguo?

Kuna jamii za kiafrika bado zinaficha mbele tu lakini mwili wote uko wazi.

Acheni unafki, kujifanya mnapinga huku wakivaa hivyo ndio wa kwanza kuwaangalia na kuwapigia miluzi.
Bila shaka hata wewe hujazikuta hizo zama za kutembea uchi.
Umezaliwa na kukua ktk jamii inayovaa nguo, hivyo ukizirudisha zama za kutembea uchi wakati huu lazima tukushangae na isitoshe hizo jamii unazozisema kuwa wanatembea uchi wengine hatujawahi kuziona zaidi ya kuzisikia na kuona picha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom