Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,726 Mar 22, 2018 #21 pingli-nywee said: Kuna wanawake wa kiafrika ambao wamejiaminia na wanajielewa. Kama huyu hapa. Sabina Chege, mbunge wa Kaunti ya Murang'a, Kenya. Mheshimiwa, ipo siku ntapigwa risasi nyingi sana, kwasababu yako tu. 🙂 Click to expand... Mwanamke anayeamua kunyoa nywele zake zibaki fupi huwa ana ujasiri. Wengi hawajiamini. Ukiona mwanamke kakata nywele na bado anaonekana mrembo, basi huyo ni mrembo kweli kweli...
pingli-nywee said: Kuna wanawake wa kiafrika ambao wamejiaminia na wanajielewa. Kama huyu hapa. Sabina Chege, mbunge wa Kaunti ya Murang'a, Kenya. Mheshimiwa, ipo siku ntapigwa risasi nyingi sana, kwasababu yako tu. 🙂 Click to expand... Mwanamke anayeamua kunyoa nywele zake zibaki fupi huwa ana ujasiri. Wengi hawajiamini. Ukiona mwanamke kakata nywele na bado anaonekana mrembo, basi huyo ni mrembo kweli kweli...
foggle New Member Joined Sep 25, 2017 Posts 1 Reaction score 0 Mar 22, 2018 #22 [emoji3] [emoji3] [emoji3] imekuwaje ka kichwa kanapoteza uwezo wa kufikili
Baba Swalehe JF-Expert Member Joined Jun 6, 2017 Posts 20,311 Reaction score 40,118 Mar 22, 2018 #23 Kioo hakidanganyi
Magonjwa Mtambuka JF-Expert Member Joined Aug 2, 2016 Posts 34,119 Reaction score 32,965 Mar 22, 2018 #24 pingli-nywee said: ... ...Mheshimiwa, ipo siku ntapigwa risasi nyingi sana, kwasababu yako tu. 🙂 Click to expand... Wasipokupiga risasi jipige mwenyewe ufurahi
pingli-nywee said: ... ...Mheshimiwa, ipo siku ntapigwa risasi nyingi sana, kwasababu yako tu. 🙂 Click to expand... Wasipokupiga risasi jipige mwenyewe ufurahi