Wanawake wa ki-Tanga

Muulizeni mwasakafyuka na mtaji wake wa nazi
alibebwa mgongoni,
korodani ziliwekwa kwenye kisosi,
maji ya kuoga yaliungwa ka pilau.......
We acha tu

Unafanya masihara na maji ya hiliki yaliyotiwa mdalasini unapewa ukaogee, mchuzi mzito na chapati za rose, chai ya maziwa iliyowekwa sijui makorokoro gani. Ukija kitandani kuna mkao mmoja unafahamika sana ila hili ni jukwaa la mapenzi si busara kuutaja ila ukipewa huo kaka unapeleka kesho mshahara wako na bonuse zote kwa bibie. Kuna jamaa yangu nilienda nae kikazi tanga akahamia kabisa huko nikarudi peke yangu Dar.
 
mhh mimi hata sijui hayo ya kariakoo,ila nnchojua watanga ndio wenyewe wengine wanajikongoja,nna miaka kama 6 sijawahi fika kariakoo mwaya

Wapemba wameacha magorofa yao kariakoo kwa akina mama wa kitanga. Karibu sana Dar mpendwa mie niko naganga njaa tu mjini kama wengine ukija nipm tu.
 
Wapemba wameacha magorofa yao kariakoo kwa akina mama wa kitanga. Karibu sana Dar mpendwa mie niko naganga njaa tu mjini kama wengine ukija nipm tu.

haya ntafanya hivyo siku raha leo likipita huku kwetu
 
umejuaje sio kudeka tu na kudekeza pia

Unakumbuka mwanzoni nimekuambia nawafahamu vizuri mabinti wa kitanga hivyo nayajua makabila mengi na kwenu nawafahamu mabingwa wa kudekeza na kudeka ila vema umeshaolewa itunze ndoa yako. But karibu sana Bongo darisalama ila kuna joto kiama huku sijui kama utakuweza maana nyie watu raskazone kipupwe taratibu utaliweza vumbi letu?
 
hilo vumbi na joto mnaliweza wenyewe,sisi wengine tumezoea kipupwe cha ukweli,ndoa yangu naitunza kama anavyotunzwa mtoto alozaliwa kabla ya siku
 
mimi huwa siwatamani, nikiwaangalia tu, huwa napata taswira kuwa ni wanawake watoa tigo, watia limbwata, wanaotumia sana madawa, wenye majini ya mahaba, etc. kusema ukweli, asilimia sabini ya wanawake wa tanga wana mapepo ya ngono....
 
Back
Top Bottom