okay ..
Wote wanamakosa.
Wema anamuomba amrudie jamaa na jaamaa
tayari ana bi dada mwingine.
Diamond na ye ameonyesha jinsi alivyo na akili za kijinga
kupita kiasi.
samahani wanawake mimi siwaungi mkono kabisa.
Ntazidi kusikiliza nyimbo zake na kuona show zake.
Life goes on................
Ndo hapo sasa..Na tatizo lipo hapo kwa red! Ni kama ule msemo wa kichaa akikukuta ziwani unaoga halafu akakimbia na nguo zako, na wewe ukatoka majini uchi unamkimbiza, nani ataonekana kituko zaidi????
Ndo hapo sasa..
lakini usema ukweli napenda nyimbo zake.
na ntazidi kuzisikiliza.
Mengine ulimwengu utamfunza..
Diamond kamdhalilisha mwenzake kupeleka maongenzi yao kwenye vyombo vya habari,ni mbaya sana hii
Ndo kosa la kujidai unamwaga mtu kumbe bado unampenda,angejua angeendelea kuwa na diamond,sio akamwacha na at the same time hayuko tayari kutokua naeHuyo msichana kajitakia.
Kajitakia kwa sababu tayari alishaadhirishwa hadharani na huyo huyo jamaa.
Kwangu hiyo ingekuwa tosha kabisa kuacha hata kuwaza kumuongelesha.
Sasa mtu aliyekufanya kituko mbele ya hadhira unampigia simu sijui kumbembeleza aje kwako...what kinda foolishness is that?
Na kama hiyo haitoshi, tayari inajulikana kuwa jamaa yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine.
Nini tena unachokitaka kutoka kwake ambacho huwezi kukipata kwa mwingine?
SMFH!!
Hao raia wasiwaumize vichwa, nahisi wameamua kufanya maigizo tu ili wapata "attention" kwa watu.
Na hata kama ni kweli kwa mtu kama Wema anavyopenda "publicity" nadhani atakuwa amefurahi kwa sasa kuwa "talk of the town" manake alikuwa amepumzishwa kidogo na media za bongo.
Huyo msichana kajitakia.
Kajitakia kwa sababu tayari alishaadhirishwa hadharani na huyo huyo jamaa.
Kwangu hiyo ingekuwa tosha kabisa kuacha hata kuwaza kumuongelesha.
Sasa mtu aliyekufanya kituko mbele ya hadhira unampigia simu sijui kumbembeleza aje kwako...what kinda foolishness is that?
Na kama hiyo haitoshi, tayari inajulikana kuwa jamaa yuko kwenye mahusiano na mtu mwingine.
Nini tena unachokitaka kutoka kwake ambacho huwezi kukipata kwa mwingine?
SMFH!!
Nyani Ngabu unamaanisha (hapo kwa red) alichofanya diamond ni sahihi? yaani kupeleka mazungumzo yao ya faragha kwenye media...
Gaijin kuna wanawake wanamoyo kweli..Huyu hajui kukoma nae
Kama kudhalilishwa ile ya kwenye show ya Diamond ilikuwa zaidi ya kutosha
Sasa anatafuta nini zaidi
Wote wawili wapo katika kufunzwa na ulimwengu sawa na sie wengine tulobakia
Gaijin kuna wanawake wanamoyo kweli..
Wema kumbembeleza vile huyu jamaa inaonesha jinsi alivyo "desperate"
Na Diamond naye anaonyesha jinsi alivyo " immature"
watajiju bana.
mi umbea kama huu kwanza naupenda.
wameamua kuaibishana ku act kama watu ambao hajabaleehe .
kwa raha zao.