kaburu mdogo
JF-Expert Member
- Dec 19, 2011
- 567
- 400
Mbona hapo mwisho umemalizia kwa kusema wasichana mjiheshimu?!! We ni aunt au?
heee makubwa, ila huyo atakuwa muongo hivi mtu anaepigwa hata kama si kwa mkanda wa chuma ile kupigwa tu kawaida kwa makofi ana uwezo kweli wa kushika simu na kuanza kutuma msg? au alituma baada ya kuwa kipigo kimeisha, lakni pia haiwezekani ukishafumaniwa ukala kichapo hata hiyo simu utakuwa unaigopa. But all in all ndo mana kila mara zikija hizi topic za mahusiano ya kwenye mitandao huwa tunawaonya jamani muwe makini ukweli ni kwamba its not a safe place kwa mahusiano japo wapo wachache wanaofanikiwa lakini kwa majority ni majanga
siku chache zilizopita niliona post ya mdada mmoja hivi anatafuta mchumba na kwakuwa na mie nipo single na ninatafuta mtu wa kuishi nae niliamua kuanza kumfuatilka kwa ku mp na kupeana no za simu.mungu ni mwema tukawa tunawasiliana vizuri tu kila mtu yupo free kumpigia au kutyma sms kwa mwenzake muda wowote ule usiku au mchana.juzi tulikubaliana aje kunitembelea na kwakua nipo nje ya mji aliniahidi atakuja jumapili jioni au jumamosi jioni hivyo atakaa kwangu siku moja na kuondoka kesho yake.l
jana jioni nikaongea nae na kuchart nae mambo mbalimbali ya kimaisha na kimap3nz kwa ujumla mpka muda wa kulala ulivyofika kila mtu akalala baada ya kuagana. leo asubuhi saa kumi na mbili naona no mpya ya simu inaita e kuipokea tu ni sauti ya mwanaume una ihoji, wewe nani?unaishi wapi na mbona unatembea na mke wangu?ikanibidi nivute pumnzi ya mshangao kwanza kiukweli nilimwambia ukweli mimi naitwa fulani,naishi sehe.u fulani na ninajishughulisha na biashara na kama unahisi natembea au na mahusiano na mkeo nipe sms moja unayoitilia shaka,jamaa kwa hasira akanijibu"subiri najua cha kufanya"mi nilimnibu tu poa hamna shida.
sasa baadae mwanamke huyo ananitumia sms anakufa na anapigwa na mkanda wa chuma na mumewe sasa najiuliza mbona hakunambia toka mapema?aliandika post huku anatafuta mume wa ninj wakati ameolewa?je usalama wangu upo wapi?wasichana tujiheshimu na msipende kuwapotezea watu muda wao.
dah sijawahi kuhisi unaweza sema hivo dah..............kweli Miss Chagga upo juu!atakkuwa alipata mume alafu we ni kidumu basi pole mkuuuu...., ila na we fanya mazoezi ya kushika ukuta kazi unayo
dah sijawahi kuhisi unaweza sema hivo dah..............kweli Miss Chagga upo juu!
mi sijasoma hapo kabisa......btw kazi zinaendaje pande hizo?bora nimwambie ukweli ana dalili za kutatuliwa marinda
Kuna kitu sijaelewa kidogo. Hiyo jioni wakati munaagana alikuambia alishindwa kuja kwa sababu zipi?