Wanawake wa DARISALAMA hii hamuiwezi

Mmmh unawasema wanawake wa dsm wakat wanaume wenyew hawawezi.
Washamba utawajua tu sasa karne hii watu mnajisifia kubeba tani za mahindi sasa punda abebe nini .......sana sana hapo naona dalili za umaskini wa nyenzo na akili pia.
 
Wanaume wenyewe wa dar hawaiwezi hii
 
Tunataka usawa! Watu wakafikiria ni viti maalum bungeni. Huo ndio usawa
 
Huyu ni kijana wa dar buguluni sokoni tena ni mndengeleko
 

Attachments

  • 1459359598512.jpg
    36.8 KB · Views: 36

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…