ichumu lya
JF-Expert Member
- Aug 11, 2016
- 2,605
- 2,729
Wakuu mimi ni mtembea kwa miguu mzoefu hapa Dar, lakini ninakumbana na kero ya kina mama kujifanya wababe wakati nguvu hawana.
Unajitahidi kumkwepa Mwanamama lakini yeye anatunisha kifua mpaka akugonge tu afu utasikia samahani msipobadilika tukikutana nitawasukuma na ukileta mdomo utajuta.
Ninyi ni hodari kuwalaumu wanaume wa Dar sasa hii ni tahadhali. Kama wewe unatembelea gari pita kushoto.
Sent using Jamii Forums mobile app