GE2025 Wanawake wa CHAUMMA wakutana Tabata, wakiwa na matumaini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Jumamosi Agosti 9, 2025 wamekutana katika kongamano maalumu lililofanyika kwenye viwanja vya Tabata Shule, jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam.

Tukio hilo limeandaliwa na aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Agnesta Kaiza, ambaye kwa sasa amejiunga na CHAUMMA na ametangaza rasmi kutia nia ya kugombea ubunge wa Segerea kupitia chama hicho.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mgeni rasmi katika kongamano hilo ni Devotha Minja ambaye ni mgombea mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia CHAUMMA, ambaye alipata nafasi ya kuzungumza na washiriki na kuwatia moyo katika harakati za kisiasa na kijamii. Kongamano hilo lilipambwa na matukio mbalimbali ya picha, yakionesha mshikamano na matumaini ya wanawake wa Segerea.

snapins-ai_3695465161189684271.jpeg
snapins-ai_3695465161197953529.jpeg
snapins-ai_3695465161197970343.jpeg
 
Wanawake wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) leo Jumamosi Agosti 9, 2025 wamekutana katika kongamano maalumu lililofanyika kwenye viwanja vya Tabata Shule, jimbo la Segerea mkoani Dar es Salaam.

Tukio hilo limeandaliwa na aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA, Agnesta Kaiza, ambaye kwa sasa amejiunga na CHAUMMA na ametangaza rasmi kutia nia ya kugombea ubunge wa Segerea kupitia chama hicho.

Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Mgeni rasmi katika kongamano hilo ni Devotha Minja ambaye ni mgombea mwenza wa Urais wa Tanzania kupitia CHAUMMA, ambaye alipata nafasi ya kuzungumza na washiriki na kuwatia moyo katika harakati za kisiasa na kijamii. Kongamano hilo lilipambwa na matukio mbalimbali ya picha, yakionesha mshikamano na matumaini ya wanawake wa Segerea.

View attachment 3436871View attachment 3436872View attachment 3436873
Hiki chama kitafika mbali sana
 
Screenshot_20250703-140259~2.png
 
Back
Top Bottom