Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 50,956
- 22,150
Pengine waliobuni wanaume kuvaa magwanda meusi siku ya harusi kwa wanachadema
nimeona na mabinti sasa zamu yenu jamani msikubali kuumia hata kama mumeo ndio
anakununulia ujue baada ya ndoa mnakalia unga wa mhogo kisa nguo ya harusi
je amwoni wakati muafaka sasas kudai na nyie watengeneze nguo za harusi mtakazovaa
kama wanavyovaa magwanda wanachadema siku za harusi zenu..kama wanasema mume n mke
ni kitu kimoja kwa nini mumeo avae gwanda we usivae jamani loh...
Mustafa hasaanali tunaomba utusaidie kutubunia hili vazi kabla ya 2015 kuingia magogoni