Kweli kabisa ndugu. Haya yanawafaa nyie tu mkuu sisi tubaki kukubali au kukataa hiyo ndio kazi yetu.Yaani mwanamke wa kujitongozesha siku zote hutumika kama chombo cha starehe
Maana muda wote ataishi kwa kuheshimu na kutii hata yasiyo ya kutii na utakuwa upendo wa upande mmoja
Kweli kabisa kuna wakati kila kitu kisimame katika nafsi yake ili kiwe na thamani yakeKweli kabisa ndugu. Haya yanawafaa nyie tu mkuu sisi tubaki kukubali au kukataa hiyo ndio kazi yetu.
mbona mimi hujanifanyia hayo ma ukauzu?/Mimi nikimpenda mtu aisee hawezi hata kujua ninavyojitia ukauzu mbele yake
Kweli kabisa ndugu.Kweli kabisa kuna wakati kila kitu kisimame katika nafsi yake ili kiwe na thamani yake
Shida sio umalaya shida inakuja kuwa mwanamke anafundishwa kupenda je akikufuta na kukutongoza utakuwa tayari kujifunza ili umpende?Hakuna mwenye ujasiri huo humu jf, ajitokeze aanze na mimi nione kama anaweza, tatizo wengi wanaogopa eti ataonekana malaya au atadhalilika hapana ni haki yake maana kama umalaya basi sisi wanaume ni malaya kupitiliza maana ndio huwa tunatongoza sana. UJASIRI SI MCHEZO, AIBU KAWAIDA
Sawa mkuuKweli kabisa ndugu.
Kuna siku nilikwambia nakupenda?Mbona m
mbona mimi hujanifanyia hayo ma ukauzu?/
Aisee. Sijui mie mgonjwa sijawahi fikia hiyo hatua ya kumtamani mwanaume hadi niwaze kumtongoza.
Mnataka kuja kumkashifu mwanamke sio bure. Nyie ndio mtuanze bana na sio sisi hata hainogi kwa sababu mwisho wa siku unaweza taka hadi nikupe hela ya matumizi kisa tu nimekutongoza.
Akaaaaaa.
hujaniambia lakini labda umesahau kuniambia....hivyo mimi nakukumbusha tuuu...KhantweKuna siku nilikwambia nakupenda?