Wanawake tunaogopa kuwadai

Mbishi 4 real

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
640
Reaction score
657
Niko na urafiki na dada mmoja ambae tulijuana kwenye mazingira ya kazi lakini hatuna uhusiano wa kimapenzi sababu yeye ana mpenzi wake na mimi nina mpenzi wangu .

Kwasasa yeye hana kazi na sijui chanzo chake cha kipato lakini amekua akinisumbua mara kwa mara kwamba nimkopeshe kiasi flani cha pesa na kuhaidi atanilipa bila kutaja siku maalum ambayo atanilipa deni langu.

Napata mashaka ya kumkopesha hiyo pesa sababu kipindi nilipokutana nae sehemu fulani kwaajiri ya kazi aliwahi kunionyesha ishara za kunitaka kimapenzi ingawa mimi sikutaka kujihusisha kimapenzi na mtu ninaefanya nae kazi sehemu moja ukizingatia kwamba nina familia yangu kwa maana ya mke na mtoto.

Kulingana na mazingira niliyoyaeleza, je kuna uwezekano wa yeye kunilipa pesa yangu bila utata pindi nitakapoamua kumkopesha ?

Naombeni ushauri
 
sasa hana kazi atakulipa nini? kama sio kukupa threesome
 
Kaka hiyo ni ngumu. Epuka kumkopesha mwanamke uliye na mazoea naye, mara nyingi huwa hawarudishi pesa na niwagum kulipa. Uki waganda sana, wanakuona msumbufu au wanaweza kukupa K kama malipo.
 
kipindi kigumu hiki atakulipa nn,usikopeshe mtu kipindi hiki utakosana na wengi
 
Mpe kama unamsaidia tu mkuu ikitokea amerudisha poa ikishindikana inakuwa msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…