Wanawake tueleweni wanaume tafadhali

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
381
Mara nyingi nawashangaa sana wanawake wengi kwa kuhisi mnawajuha wanaume, but ukweli hamtujuhi kabisa mwanaume anaweza zaa na chizi, tahira tena pasipo kabisa na imani na kishirikisha.

Ila hakuna mwanamke anayeweza kuzaa na chizi sisi wanaume tuna vichwa viwili, hiki cha juu na kile cha chini, sasa kumzibiti mwanaume ni sawa na kuzuia upepo, ukweli hauwezi kabisa.
#Kama Mume/Boy Friend wako anakutreat vizuri na anatimiza wajibu wake. kuwa mpole ndivyo tulivyoumbwa
 
Nawaambiaga hakuna mwanaume anayeweza kukaa/ kutosheka na mwanamke mmoja huwa wanakasirika,Sasa dawa yake Ni kuwadanganya tu namwambia baby upo peke ako Sina mwingine,hapo anakuelewa vizuri sana tumeambiwa tuishi nao kwa akili ndo Kama hivi,bila kuwadanganya Hawa viumbe huwezi kuishi nao
 
Hahahahahaha mzee baba
 
Uko sahihi brother.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…