Wanawake tuache kuomba pesa 2021

Mpe mko shida nini?
Tatizo huyu ninayemzungumzia tulionana tu kwa mara ya kwanza akanimwagia shida zote[emoji23][emoji23][emoji23]

So tatizo sio kuomba bali mko na uhusiano?
Na na una muda gani?

Ndugu yangu acha kabisa[emoji23][emoji23]
 
KAZI ya mwanaume kuhudumia.. Kama huyo mwanaume hajiongezi... Doooh
 
Wanaume pia tunaomba nakala ya mawazo haya... tutayatumia kwenye kikao chetu cha mwaka huu 2021
 
Jaman wanawake, hizii muwe mnaacha wanaume wenyewe ndio wanazianzisha

Sasa kama sisi watoaji wa pesa hatulalami. Kwann nyie ndio mlalame.

Hata msihangaike, nyie tutaendelea kuwapa tu.
 
Jaman wanawake, hizii muwe mnaacha wanaume wenyewe ndio wanazianzisha

Sasa kama sisi watoaji wa pesa hatulalami. Kwann nyie ndio mlalame.

Hata msihangaike, nyie tutaendelea kuwapa tu.
Nashangaa...Sasa mwanamke kwanini asiombe hela..
Husband Kama unasoma hapa...Mimi napenda kupewa Pesa[emoji3][emoji3][emoji3]
Nanikiona huto willingly itabidi NIANZE KUOMBA..
 
Alikuomba wewe sio mimi

Ki kawaida hua sibishani na ubavu wangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji3][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ntanyimwa badae
 
Kione
 
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Hili la wanawake kuacha kuomba pesa haliwezekani. Haitotokea!

1. Wanawake waombe pesa kwa wapenzi wao.
2. Wanawake waanzishe ama waendeleze shughuli zao za kiuchumi.
 
WADANGAJI sidhani watasoma hata nusu ya uzi wako?
 
not to sound rude ila dada hela za kupewa tamu haswa ukipewa na mpenzi wako hta kama una hela zako ila ukipewa inakua na utamu flani
 
not to sound rude ila dada hela za kupewa tamu haswa ukipewa na mpenzi wako hta kama una hela zako ila ukipewa inakua na utamu flani
Huyu Dada asitukere.. mwanaume anakutongoza anakwambia nafanya KAZi sehemu flani..namiliki hichi na hichi na hichi...hujaamuuliza
Inamaana indirectly anakwambia kuwa anaweza Kukuhudumia...
 
Yaani Hapa natafuta lugh nzuri na maneno mazuri..... Kuomba pesa siwezi Acha. Naweza nikachelewa kuanza kuomba lakini Naamini kupewa pesa Ni wajibu wa mwanaume kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…