Mkuu, narudia kukuambia tena...HUWEZI KUMTENGANISHA MWANAMKE NA UREMBO.
Pia elewa na kutambuwa kuwa mambo ya urembo hayajaanzia Africa...haya mambo ni ya dunia mzima.
Mchina anashonea weaving, Mzungu anashonea weaving, Mwarabu anashonea weaving, Muhindi anashonea weaving na mwisho hata mwanamke wa Kiafrica anashonea weaving. Hebu jiulize swali hili dogo tu...ikiwa hawa wanawake wenye pasian hair zinazopendeza na kutereza lakini bado wanashonea weaving sembuse mwanamke wa Kiafrica? Urembo wa nywele ni moja Kati ya urembo ambao asilimia 80 ya wanawake wote hapa duniani wanaupenda.
Ila
View attachment 192995 ni kweli urembo huu wa nywele usipokuwa na matunzo mazuri unakera sana.
View attachment 192993
Picha zote kwa hisani ya Million Hairs Salon