Wanawake tafadhali mjirekebishe katika hili

Wanawake tafadhali mjirekebishe katika hili

nzalendo

Platinum Member
Joined
May 26, 2009
Posts
13,091
Reaction score
15,206
Wanawake ndio mama zetu,wake zetu, dada, shangazi n.k. Kuna baadhi ambao huvaa nywele za bandia na kushindwa kuzitunza mnakuwa kero.

Nywele zinanuka manake hazioshwi, zinatoka jasho linakaukia huko, mara kadhaa hukuta anakuna na harufu mbayaa husikika. Si wote lakini wengi wenu, na hamjijui au watu huogopa kuwafahamisha.

Balaa huwa pale umekaa nae kwenye basi halafu hataki kufungua dirisha na hajijui kama anatoa harufu mbaaaayaa

Hii ni kwa uchache tu,wengine huweza kukutana nao kwenye mgahawa,foleni ya kwa daktari,benki na sehemu zenye mikusanyiko ya watu.

Mwingine akiingia kwenye lift au ofisini kwa mtu baada ya kutoka huacha shombo fulani pia akikaa ktk kochi. Tunaomba tafadhali mjirekebishe.

Tunatanguliza shukrani za dhati, tunategemea mazingira yawe safi.

Asanteni.
 
Mmmmhhh mbona mimi hizo harufi sizisikiagi au zinasikika kwa wanaume tu?
 
Harufu gani huwa unaskia na zikoje mkuu mi cjawahi labda harufu ya mafuta haikupendezagi
 
Si hao tu hata ambao hawana mawigi nywele ikinyeshewa na mvua utafikir kumekufa panya kichwani
 
Wanawake ndio
mama zetu,wake zetu, dada, shangazi n.k. Kuna baadhi ambao huvaa nywele
za bandia na kushindwa kuzitunza mnakuwa kero. Nywele zinanuka manake
hazioshwi, zinatoka jasho linakaukia huko, mara kadhaa hukuta anakuna na
harufu mbayaa husikika. Si wote lakini wengi wenu, na hamjijui au watu
huogopa kuwafahamisha. Balaa huwa pale umekaa nae kwenye basi halafu
hataki kufungua dirisha na hajijui kama anatoa harufu mbaaaayaa

Hii ni kwa uchache tu,wengine huweza kukutana nao kwenye mgahawa,foleni
ya kwa daktari,benki na sehemu zenye mikusanyiko ya watu. mwingine
akiingia kwenye lift au ofisini kwa mtu baada ya kutoka huacha shombo
fulani pia akikaa ktk kochi. Tunaomba tafaadhaal mjirekebishe.
Tunatanguliza shukrani za dhati, tunategemea mazingira yawe safi

asanteni.

ni kweli mkuu hasa dar, kiukweli mawigi sipenda hata kwa burreeee
 
Hivi kwanin unashonea nywele?? dont u like ur hairstyle?

Mkuu, narudia kukuambia tena...HUWEZI KUMTENGANISHA MWANAMKE NA UREMBO.

Pia elewa na kutambuwa kuwa mambo ya urembo hayajaanzia Africa...haya mambo ni ya dunia mzima.
Mchina anashonea weaving, Mzungu anashonea weaving, Mwarabu anashonea weaving, Muhindi anashonea weaving na mwisho hata mwanamke wa Kiafrica anashonea weaving. Hebu jiulize swali hili dogo tu...ikiwa hawa wanawake wenye pasian hair zinazopendeza na kutereza lakini bado wanashonea weaving sembuse mwanamke wa Kiafrica? Urembo wa nywele ni moja Kati ya urembo ambao asilimia 80 ya wanawake wote hapa duniani wanaupenda.

Ila image.jpg ni kweli urembo huu wa nywele usipokuwa na matunzo mazuri unakera sana.image.jpg

Picha zote kwa hisani ya Million Hairs Salon
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    669.5 KB · Views: 152
  • image.jpg
    image.jpg
    450.6 KB · Views: 131
  • image.jpg
    image.jpg
    417.4 KB · Views: 106
Back
Top Bottom