Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Good
 
Sasa mwanamke aliyesoma na anayetafuta pesa si lazima tu atakusaidia majukumu yako ya kuhudumia familia sasa kwanini wewe ushindwe kumsaidia?
 
Sasa mwanamke aliyesoma na anayetafuta pesa si lazima tu atakusaidia majukumu yako ya kuhudumia familia sasa kwanini wewe ushindwe kumsaidia?
Atasaidia akitaka.mimi ni majukumu yangu na nitafanya kwa kadri ya uwezo wangu(so help me God).Ila akifanya lolote isiwe eti ndo sababu ya kutaka upuuz wa "haki sawa".siamini kwenye huo ujinga.kuwa mke kwangu,nitakua mume kwako,fullstop
 
Oohh basi hakikisha kwamba hafanyi majukumu mengi zaidi yako maana wewe ndo mkuu na yeye ndo msaidizi sasa kumbuka siku zote mkuu ndo anayekuwa na majukumu mengi kuliko msaidizi hata rais ndo mwenye majukumu mengi kuliko makamu wa rais
Atasaidia akitaka.mimi ni majukumu yangu na nitafanya kwa kadri ya uwezo wangu(so help me God).Ila akifanya lolote isiwe eti ndo sababu ya kutaka upuuz wa "haki sawa".siamini kwenye huo ujinga.kuwa mke kwangu,nitakua mume kwako,fullstop
 
Mwanamke huwa hasomi

Mwanamke ahata afike wapi uwezo wake huishia kusoma na kuandika tuu
 
Utadumu kwenye ndoa madam 🤛
 
Hpo umenena wazi dada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…