Shem amepata mkeMmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta nwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Tatizo anazeeka kwa kasi sana![emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]wife material sky
HakikaWa hivi hawazaliwi tena miaka hii. Sijui kama watakuja zaliwa tena [emoji1431][emoji1417]
Sasa ndiyo naowataka mkuu awaumizi kichwaTatizo anazeeka kwa kasi sana![emoji116][emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 1123202
Mchambuzi huyuhuyu alieshikwa ugoni hivi majuzi...Wanawake wenye ufahamu na uchambuzi wa hali ya juu kama sky wameenda wapi.
Ndo inavyotakiwa,sipendi kufuatiliwa mambo yangu lakini ya kwako ntafuatilia kujua kama naibiwa.Mmekaa sitting room mnaangalia taarifa ya habari, simu ya mr inaita, anaamka anachukua simu, ameamua kuongelea chumbani. Baada ya maongezi anarudi anakukuta mwanamke umeumuka kama umetiwa hamira, aliyepiga simu ni nani?
Kama ungetakiwa kumjua au kujua wanayoongea asingeenda chumbani, yeye ni mtu mzima anahitaji privacy yake. Kama anataka kukopa hela je?
Mimi ninaamini kama katika wote amenichagua mimi, hata akitoka wala sina wasiwasi ninajua atarudi. Simu ikipigwa ninampelekea kama yuko mbali, hata kama caller’s name ni Joyce siulizi kwani mwenye pete ya ndoa ni mimi.
Uache kulala usingizi wako mzuri unamsubiri mtu ambae yuko kwenye bata lake huko au ndiyo anashughulikia ada za watoto. Mradi tu awe na adabu ya kunijulisha kuwa atachelewa.
Bibiee unapenda usawa eeh?Swali ni je hilo hata wanaume wanaweza kufanya? Yaani mke simu inaingia anaenda kuongelea chumbani halafu mume kakaa tu hana hata wasiwasi na wala haulizi ni nani aliyepiga simu?
Wanawake tunaweza ila na wanaume wanaweza? Na wao wakiweza basi hakika ndoa itakuwa tamu zaidi ila siyo hawa wanaume wa kiafrika kila kitu utasikia "mimi ndo mwanaume humu ndani na mimi ndo niliyekuoa" ishiii kwahiyo?
Mitaa ya hapo mbele.Uzee unaanzia mitaa ipi?!
Kwasasa tutawafuata hadi chooni hadi kieleweke, bado tuna nguvu za kudeal na stress.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]