Wanawake stress nyingine tunazitafuta

Swali ni je hilo hata wanaume wanaweza kufanya? Yaani mke simu inaingia anaenda kuongelea chumbani halafu mume kakaa tu hana hata wasiwasi na wala haulizi ni nani aliyepiga simu?

Wanawake tunaweza ila na wanaume wanaweza? Na wao wakiweza basi hakika ndoa itakuwa tamu zaidi ila siyo hawa wanaume wa kiafrika kila kitu utasikia "mimi ndo mwanaume humu ndani na mimi ndo niliyekuoa" ishiii kwahiyo?
 
Sema tuu ni vile ushaolewa lakini daa...
 
Wisdom at it's best.
 
Wa hivi hawazaliwi tena miaka hii. Sijui kama watakuja zaliwa tena 🙏🏽👍🏽

 
Not always....

Inategemea na situ.
 
Ungekuwepo karibu ningekupa zawadi, una akili na busara ya hali ya juu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…