Kwani wewe ni Mwanamke?
Mbona wengine wanajitambuwa mkuu, tatizo la wengi wao ni kukurupuka, hata kukaa kutulia na kufikiri hamna..afadhali wewe umelijua hilo.
Wewe ndo mwanamke, maana unaona jina kabisa la kiume unaulizaKwani wewe ni Mwanamke?
Una mchumba?!Mwanamke umezaa na mwanaume alafu ukaanza kumuona hafai sasa kwanini ulimpanulia papa.. Isitoshe Mwanaume akakuchoka..
Akaondoka kabisa akawa mbali na wewe.. Kwa aina nyingine akapata mtu akazaa naye tena.. Wewe ukajua kwamba kazaa na mtu fulani.. Ukaamua kumtafuta uyo mwanamke umfahamu.. Na ukaanza kumtengezea maneno ya uongo .. Cha ajabu mnakaa mnakubaliana eti kumkomoa yule mwanaume..
Ivi elimu tunazosema tumemesoma UD huwa zinasaidia nini.. Mnakuaje Marafiki labda.. Nini mnataka haswa??
Tujitambue bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mashoga wengi kitaa wanapenda kutumia jina kama lako.Wewe ndo mwanamke, maana unaona jina kabisa la kiume unauliza
, apo sasa sijui utakuwa unataka nini
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihishi kwa mazoea basi ama nini, si wanaume kuanza kuitana mambo ya ajabu haina benefits kwa yoyote cha msingi kila mtu apambane na hali yake tuMashoga wengi kitaa wanapenda kutumia jina kama lako.
HahahaMwanamke umezaa na mwanaume alafu ukaanza kumuona hafai sasa kwanini ulimpanulia papa.. Isitoshe Mwanaume akakuchoka..
Akaondoka kabisa akawa mbali na wewe.. Kwa aina nyingine akapata mtu akazaa naye tena.. Wewe ukajua kwamba kazaa na mtu fulani.. Ukaamua kumtafuta uyo mwanamke umfahamu.. Na ukaanza kumtengezea maneno ya uongo .. Cha ajabu mnakaa mnakubaliana eti kumkomoa yule mwanaume..
Ivi elimu tunazosema tumemesoma UD huwa zinasaidia nini.. Mnakuaje Marafiki labda.. Nini mnataka haswa??
Tujitambue bana
Sent using Jamii Forums mobile app
We sio keMwanamke umezaa na mwanaume alafu ukaanza kumuona hafai sasa kwanini ulimpanulia papa.. Isitoshe Mwanaume akakuchoka..
Akaondoka kabisa akawa mbali na wewe.. Kwa aina nyingine akapata mtu akazaa naye tena.. Wewe ukajua kwamba kazaa na mtu fulani.. Ukaamua kumtafuta uyo mwanamke umfahamu.. Na ukaanza kumtengezea maneno ya uongo .. Cha ajabu mnakaa mnakubaliana eti kumkomoa yule mwanaume..
Ivi elimu tunazosema tumemesoma UD huwa zinasaidia nini.. Mnakuaje Marafiki labda.. Nini mnataka haswa??
Tujitambue bana
Sent using Jamii Forums mobile app
umeandika ilo!Mwanamke umezaa na mwanaume alafu ukaanza kumuona hafai sasa kwanini ulimpanulia papa.. Isitoshe Mwanaume akakuchoka..
Akaondoka kabisa akawa mbali na wewe.. Kwa aina nyingine akapata mtu akazaa naye tena.. Wewe ukajua kwamba kazaa na mtu fulani.. Ukaamua kumtafuta uyo mwanamke umfahamu.. Na ukaanza kumtengezea maneno ya uongo .. Cha ajabu mnakaa mnakubaliana eti kumkomoa yule mwanaume..
Ivi elimu tunazosema tumemesoma UD huwa zinasaidia nini.. Mnakuaje Marafiki labda.. Nini mnataka haswa??
Tujitambue bana
Sent using Jamii Forums mobile app
miss chaga upo?mkuu embu niwekee nione .. sina kumbukumbu hiyo mkuu