Fadhila mfadhili mbuziiii Utamnywa mchuziiiii! Binadamu wana mauziiii!!!!!!!!! How Could She be so Heartless!!!!!!!!??????????
Mi bwana ndo maana Mwanaume asie na kitu simtakagi kabisaaaaaaa!!!!!!! Mambo ya kumfuga mtu wee akipata anakuona si hadhi ya tena!
Aendelee tu kumsamehe bure kama alivyokua anamsamehe hapo kabla. Hamna haja ya kulalamikia hali aliyolea na kuikubali mwenyewe.Hajamuudhi wa kwetu jamaa ni mpole sana pia mkimya na ameokoka demu wake ni mropokaji sana si mara ya kwanza huyu demu wake kumtusi bt jamaa alikuwa anamsamehe bure,wakat mwngn demu wake alikuwa anaondoka hazpiti wk mbli anajrudsha wanaendelea kuishi,now imekuwa too much hasa baada ya demu kupata kaz jamaa bado anajtafutia kaz huku anapga vitempo vya hapa na pale,mi nimemshauri jamaa yng aachane nae na akapange kivyake.
Kuna mambo mengi sana behind Loans aisee.
Bora Lara umekuwa mkweli, jamaa na yeye mchele wa watu anagusa wa nini au wanafunzi hawatoi hela huko anakofundisha?
Afadhali kamjua mapema. Wanawake wa hivyo ndo babako akija kuugua hapo anamnyima mboga na sabuni ya kuogea. Achape lapa, Mungu kamfunulia siri mapemaaa! Anataka kulilia vijisent vilivyopita wakati umilionea unamngojea!
Hajamuudhi wa kwetu jamaa ni mpole sana pia mkimya na ameokoka demu wake ni mropokaji sana si mara ya kwanza huyu demu wake kumtusi bt jamaa alikuwa anamsamehe bure,wakat mwngn demu wake alikuwa anaondoka hazpiti wk mbli anajrudsha wanaendelea kuishi,now imekuwa too much hasa baada ya demu kupata kaz jamaa bado anajtafutia kaz huku anapga vitempo vya hapa na pale,mi nimemshauri jamaa yng aachane nae na akapange kivyake.
Hizo ndizo adha za kutegemea kipato cha mwanamke. Mwambie jamaa yako avumilie au asepe wenye uwezo wachukue mzigo.Hajamuudhi wa kwetu jamaa ni mpole sana pia mkimya na ameokoka demu wake ni mropokaji sana si mara ya kwanza huyu demu wake kumtusi bt jamaa alikuwa anamsamehe bure,wakat mwngn demu wake alikuwa anaondoka hazpiti wk mbli anajrudsha wanaendelea kuishi,now imekuwa too much hasa baada ya demu kupata kaz jamaa bado anajtafutia kaz huku anapga vitempo vya hapa na pale,mi nimemshauri jamaa yng aachane nae na akapange kivyake.
kweli kuokoka si kazi kazi kutunza wokovu maana kama jamaa ameokoka nini kilimfanya aishi na binti kinyume na maagizo ya Neno la Mungu ndo maana hata yote hayo yanamkuta si kwamba namuhukumu ila ni hali halisi
Tenda wema huende zako usingoje kurudishiwa..
By the way unapomfadhili mtu unafanya investment au unasaidia tu, ingawa huyu dada ana kosa ila hatujui huyu mwanaume anamtreat vipi sababu wengine sababu tu alikupa penseli wakati unasoma primary anategemea sababu unafanya kazi benki umpe mkopo bila collateral