Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,160
- 72,200
KweliHamna jema saa nyingine ingetokea amekataa mngesema wanawake mnaringa amekubali imeshakuwa shida unakuja kumlalamikia humu kwa sababu siku zote huko kusogea ndio mwanzo wa kujuana lakini.
Mbaya kama angejileta mwenyewe kumbe ulimuita. Makosa anayo ila nyie ndio mna makosa zaidi.
Tunasikiaga raha kuwachezea kwani we hujui hilo kumtokea Dem ujue km vile kucheza Game unakua unapenda kila saa ufanye hivyo kuna ladha flani hvHahaaa. Sasa kwa nini mtest mkuu wakati mmeshajua tuna mapungufu yetu ambayo hatuchelewe kujaa.
Mngekuwa mnauchuna basi.
Hahahaahahhahaaaaaa mamii umenichekesha aiseeeeWatu tunatembea na visu ukizingua tunakata k.dani
dunia yenyewe hii usipojifunza judo basi kaa nyumbani kama mie
Hongera, ila Mimi nakumbuka tukio baya la kufariki kwa ajali ya mama mzaa chema wangu.Du! umetaja Uchira aisee nimekumbuka mbali sana!
Nimemkumbuka mama yangu mzazi, Pumzika kwa amani mama yangu. mleta uzi umetaja eneo alikozaliwa mama yangu mzazi
Pole sana mtaniDu! umetaja Uchira aisee nimekumbuka mbali sana!
Nimemkumbuka mama yangu mzazi, Pumzika kwa amani mama yangu. mleta uzi umetaja eneo alikozaliwa mama yangu mzazi
Pole dear, mie hadi nime miss neno "shikamoo mama"Hongera, ila Mimi nakumbuka tukio baya la kufariki kwa ajali ya mama mzaa chema wangu.
Ahsante mtani wangu. mama yangu ni wapare waliojichanganya hapo Uchira njia ya kwenda Kisomachi - KiruaPole sana mtani
Hahaaa. Ya kuazima swahiba. Zile za makinikia bado.Alah Kumbe una Noah swahiba kwan hela za Makinikia Tushalipwa Mama..
Nogopa Kutekwa aisee acha tufanye Matembez ya Hiar tu
anhaaa sawa aisee mtaniAhsante mtani wangu. mama yangu ni wapare waliojichanganya hapo Uchira njia ya kwenda Kisomachi - Kirua
Mmmmhh nami demu maji mafupi namuogopa Sana,InAonekana huyo jamaa ako ana ile kasumba ya demu lzm akuzngue saaaaana ndo anakuwa demu hasa!!wanaume bhana
Pole sana japo inauma kuwapoteza wapendwa wetu.Pole dear, mie hadi nime miss neno "shikamoo mama"
Hahaaaa. Eti km 09 bado yumo tu sa sijui huyo mwenzetu alitaka akashukie wapi.Wanaume wa Moshi bwana, sasa arifu mlimuita wa nini aisee!!!! Na angekataa si ajabu mngemtukana au kumkejeli.
Nae ana moyo wa lami, yaaani Unaenda nyumbani kwa watu wasiojulikana!!!!
Unajua nikitembea na wewe itakuwa raha sana tena kwa muda mrefuHahaaa. Ya kuazima swahiba. Zile za makinikia bado.
Basi nighairi kuazima ili tufanye hayo matembezi ya hiari.
Basi tukikubali msitushangae mkuuTunasikiaga raha kuwachezea kwani we hujui hilo kumtokea Dem ujue km vile kucheza Game unakua unapenda kila saa ufanye hivyo kuna ladha flani hv
Cha muhimu ni kuwaombea pumziko la milelePole sana japo inauma kuwapoteza wapendwa wetu.
Akili za huyo mdada zilishaamia chiniWanaume wa Moshi bwana, sasa arifu mlimuita wa nini aisee!!!! Na angekataa si ajabu mngemtukana au kumkejeli.
Nae ana moyo wa lami, yaaani Unaenda nyumbani kwa watu wasiojulikana!!!!
Hahaaa. Raha gani tena hiyo maana naziona dalili za kutaka kunitoa vigimbi.Unajua nikitembea na wewe itakuwa raha sana tena kwa muda mrefu
Hivi hutajisikia raha kusikia watu wanasema Bonny katembea na Emmyta kwanza ni afyaHahaaa. Raha gani tena hiyo maana naziona dalili za kutaka kunitoa vigimbi.