Mwanamke aliye juu ya 30+ baadhi Yao wanashida kisaikolojiaa, hii inachangiwa na Presha kubwa alonayo kwanza Kwa kuwaza Maisha yake yanyuma, pia kuwaza Maisha yake ya Sasa .
Ila ndio Wanawake Bora, na Makini, ambao Akili zimetulia tayari Kwa Ndoa na wanajua kumahabika kwelikweli.
Ila Hutu tu serengeti girls , tuna wanaume kumi kumi , tutakua mapemaaa bwasheee, tuserenget girls Tunataka mwanaume mnyoa viduku, mvaa jinsi na t-shirt ya kubana, ukapeleke club , bichi , hatutaki utupende Kwa dhati na kukauliza uliza Uko wapi, uko nani yaan twenyewe mambo ya Leo ni ya Leo, kesho inajijua yenyewe
Sasa swali, Hutu tuSerengeti girls , umri wake unaanzia ngapi mpaka ngapi?.