Mbesi ndo nn?..muite aisee, huku Arusha ukiita mutu asipoonekana unaomba mbesiii.
mbesi ikiwadia lazima aitike.
Hivi kumbe yuko huku huku? ndo huyo Lady in red10 au? nisije pigwa mie.
hahahahahha.
mbesi ni kuomba msaada wa jambo fulan. kwa mfano waweza niomba mbesi mimi nikuitie Atoto. sasa huyu lady in red10 alikuwa anagombana nini?Mbesi ndo nn?..
Anaitwa Atoto..
Acha uoga..We kukwepa ngumi hujui?
Husiwaite bana..Mbona unataka kuharibu maongezi aiseembesi ni kuomba msaada wa jambo fulan. kwa mfano waweza niomba mbesi mimi nikuitie Atoto. sasa huyu lady in red10 alikuwa anagombana nini?
lady in red10 njoo ujibu swali huku maana kumbe wewe sio mmiliki.
hahahahaha.
halafu kukwepa mawe siwez kabisa na reserve nguvu za mambo ingine bhana sio ya kukwepa mawe.
haaaah nilifikir unatamtafuta atoto haonekani nikuitie bhana.Husiwaite bana..Mbona unataka kuharibu maongezi aisee
Teh teh..Huyo akija hapa ni balaa..Mtata mpaka basi..Kumbe hupo Ar..Basi nishapata mwenyejihaaaah nilifikir unatamtafuta atoto haonekani nikuitie bhana.
sikuwa na ubayaaa(in arusha tone)
Vipi ile dawa ya kikongo hukutumia?nilikuwa nimejipanga nilimlia supu ya pweza na karanga mbichi wiki nzima nikala ugali na vingine nikala pia japo kwa shino upande,afu dada wa watu ana maisha mazuri sana huwezi amini lakini du supu hakuna ujue kuna tofauti ya kuwa mwembamba na kukongoroka,yule kakongoroka
karibu ila baridi ya wakati huu huwezi kuihimiliTeh teh..Huyo akija hapa ni balaa..Mtata mpaka basi..Kumbe hupo Ar..Basi nishapata mwenyeji
Si utanipa koti ama?karibu ila baridi ya wakati huu huwezi kuihimili
tutaagiza nje yale ya zulia maana makoti ya hapa hutoboiSi utanipa koti ama?
Mi nataka lako banatutaagiza nje yale ya zulia maana makoti ya hapa hutoboi
mie sinaga koti bhana. ndo maana nakwambia once ukipanga kuja R chuga tuagize koti huko majuuMi nataka lako bana
Duuuh..Haya banamie sinaga koti bhana. ndo maana nakwambia once ukipanga kuja R chuga tuagize koti huko majuu
ndo hivyo, msema ukweli ni mpnz wa Mungu na ucjali nitaagiza mimi maana naona unaogope mapesaaaDuuuh..Haya bana
Teh teh..Gharama za nn sasa..Hicho ulichonacho tutashare wote..Kwani we unajikinga vipi na baridi?ndo hivyo, msema ukweli ni mpnz wa Mungu na ucjali nitaagiza mimi maana naona unaogope mapesaaa
kikikikikkkkk
hahahahahha wewe Kabooom mtundu sana, mie nshakuambia sijikingagi mimi nshazoea, ila ukija nakutafutia yale makoti OG kwa ajili ya baridi.Teh teh..Gharama za nn sasa..Hicho ulichonacho tutashare wote..Kwani we unajikinga vipi na baridi?
Teh teh..Eti umezoea..Inaonekana una joto jingi..Itabidi unipunguzie hilo la kwakohahahahahha wewe Kabooom mtundu sana, mie nshakuambia sijikingagi mimi nshazoea, ila ukija nakutafutia yale makoti OG kwa ajili ya baridi.
kikikikikkkkkk
hahahahahahaTeh teh..Eti umezoea..Inaonekana una joto jingi..Itabidi unipunguzie hilo la kwako
Hata mm naona mwandishi hajatumia akili, anataka mtu awe hivyo hivyo miaka 10??? Mbona sisi wa kiume pia miaka 10 tunabadilika, mavitambi hadi shughuli za vitandani zinatushinda!!
HahahahahTehee maisha yamevaa pensi nyanya..