Wanawake sie!

Vannele

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Posts
287
Reaction score
90
Hivi baadhi ya wanawake huwa wana matatizo gani? Unakuta mwanamke ni mjamzito... Ikitokea amekorofishwa na bwana ake anakimbilia kutoa hiyo mimba... Kwani aliyekosa ni mtoto au baba yake? Nawachukia sana wenye tabia hiyo
 
.. Well.. Inategemea makubaliano na utayari wao
 
Ingekuwa kutoa mimba si tendo la kinyama I don't think its bad idea though....ni sawa na umekorifishana na mpenzi wako ambae soon to be Ex na unajaribu kuformat all the datas relates to him
 
Sasa hapo si anajikomoa mwenyewe.....hasira nyingine hazifai........afu unaenda kutoa kumbe mtoto mwenyewe ndo huyo tu....matokeo yake unakuwa mgumba wa kujitakia....
 
.. Well.. Inategemea makubaliano na utayari wao

Utayari gani....?..kama hauko tayari kuzaa kwa nini unafanya hcho kitendo....tena bila hata kinga...?...tuache mauaji ya watoto wasio na hatia...au kwasababu hawawezi kujitetea ndo mana tunamwaga damu zao
 
Utasikia "namkomesha na mimba yake natoa si anajifanya jeuri mi jeur mara mbili"alafu mwisho wa siku bidada kizaz kinaharibika..kuja kuolewa ndoa inakua chungu anamaliza mitishamba na waaguzi kutafuta mtoto ainusuru ndoa!
 
Ndo hapo sasa...yani mtu hawazi uko mbeleni huyo anayemkomoa anaenda kuzaa na mwanamke mwingine wew unabaki na utasa wako wa kujitakia....unaanza kumlaumu Mungu......vitu vingine ukisema unamkomoa kumbe unajikomoa mwenyewe maisha yako yot...
 
y unafaka mimba wakati bado hujaolewa....wanawake ndio uchizi wao huo.
 
Utayari gani....?..kama hauko tayari kuzaa kwa nini unafanya hcho kitendo....tena bila hata kinga...?...tuache mauaji ya watoto wasio na hatia...au kwasababu hawawezi kujitetea ndo mana tunamwaga damu zao

yaani nashangaaga sana...sijui wana hatia gani......we ukipanda mtama usitarajie kuvuna mahindi........

you should be responsible for your action
 
Utasikia "namkomesha na mimba yake natoa si anajifanya jeuri mi jeur mara mbili"alafu mwisho wa siku bidada kizaz kinaharibika..kuja kuolewa ndoa inakua chungu anamaliza mitishamba na waaguzi kutafuta mtoto ainusuru ndoa!

umesema kweli........na siku hizi imekuwa kama fashion wadada kutoa mimba....jamani jamani tuwe na huruma basi
 
umesema kweli........na siku hizi imekuwa kama fashion wadada kutoa mimba....jamani jamani tuwe na huruma basi

ni wamekua wengii mpaka naogopa halafu hawaendi tena hospitali ni kujimezea midawa tu..ngoja ninyamaze manake hili jambo linanipa hasira sana..
 
yaani nashangaaga sana....sijui wana hatia gani......we ukipanda mtama usitarajie kuvuna mahindi........

you should be responsible for your action

Ndo hvyo wengi wanadhani kutoa mimba ndo solution......

Mtu akipata mimba azae aanze maisha mapya ya kuwa mama.....kutokuwa tayari kusiwe ni kigezo cha kuua.......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…