Cash Generating Unit
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 13,284
- 39,510
Achana nao hao utaumiza tuu kichwa chako
Usitufokee!!!
Samahani mkuu....
Hapa unamaanisha wanawake hawa ambao wakiamka wanawasha data, ama unawazungumzia wale ambao walikua wakiamka wanawasha moto...[emoji848]
Badilisha utaumiza kichwa hapoNafanya reserch angu[emoji23]
[emoji28][emoji28][emoji28]hili swali unataka ugundue nini kwanza?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Usitufokee!!!
Mi naomba nikupe upendo maswala ya pesa tuwaachie Bank, vikoba, Sacoss na mawakala wa mpesa, Upendo vitendo [emoji817] mis power:Kwakweli sikumbuki mara ya mwsho kupewa pesa ilikuwa lini
Kwakweli sikumbuki mara ya mwsho kupewa pesa ilikuwa lini
Badilisha utaumiza kichwa hapo
Nakumbuka niliombwa 50 mara ya mwishoo sikumbukia hata kama nilijibu msg hapo ndo nkajua Mchepuko ni pesaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]